Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
292
Habari wana JamiiForums,

Bila ya kupoteza muda niende kwenye mada husika napenda tubadilishane mawazo kuhusu dubwasha hili kubwa ambalo linasemekana ni 90% ya internet duniani DARK WEB.

Je umewahi kwenda kule? Ulienda kufanya nini,Uliona nini na uligundundua nini.

Nikianza na mimi nilipoenda kule nilienda nilitaka kuona tovuti iliyokuwa ikijulikana sana kwa kuuza madawa ya kulevya kwa jina (Silk Road) nilitaka kujua hivi kweli mtu ametengeneza tovuti kama ebay ili auze dawa za kulevya lakini bahati mbaya nilikuta FBI wameiporomoa.

Cha pili niligundua kule kuna mijadala mikubwa na ya maana inayohusu masuala mbalimbali duniani bila udhibiti wowote hivyo inakuwa deep sana.

Nilikuta mitandao ya kijamii mingi kama facebook na notebook, nilitaka kujiunga facebook lakini wakaniomba email nikahairisha.

Ni vingi vya kushangaza kule kama vile wezi wa kukodishwa n.k

Nilichogundua kingine unapoingia Deep Web mtandao unakuwa chini hata kama unatumia kifaa cha kiwango cha juu.

Share pamoja nasi kile ukijuacho kuhusu Deep Web.

MAGA 2020
 
Kupo gud sana mwanangu yaani biashara zinafanyika si mchezo hata ukitaka UNGA na BANGI kutoka Mars unapata mule
 
Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.

Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.

Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.

MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.

Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM

Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA

Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.

Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.

Na Ni kweli niliukuta Mzigo.

Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.

Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.

HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.

Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.

ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.

NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmewahi kuingia uko.

Kuko poa sana,

Hasa hasa DarkMarket
(zamani ilkua ikiitwa Silk Road)

Biashara ziko huru sana, Kila kitu unapata bila Urasimu.

Vitu vinauzwa bei chee sana.

Hata ukihitaji Kifaru cha Jeshi UTAUZIWA tu bila Usumbufu wa aina yoyote.

KIKUBWA UWEZE KUFIKA BEI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenifurahisha sana kuhusu kifaru lakini kule pako poa sana

MAGA 2020
 
Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.

Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.

Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.

MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.

Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM

Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA

Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.

Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.

Na Ni kweli niliukuta Mzigo.

Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.

Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.

HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.

Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.

ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.

NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona hujanijibu post yangu nimequote hapo juu
 
Uliagiza bunduki?

Back
Top Bottom