Balingilaki
Member
- Aug 2, 2008
- 77
- 0
deci inatisha pamoja na kuwa na tin number na kadri ya uelewa wa kodi au sheria za kodi TIN(taxpayers identification number) inatolewa na TRA
Lakini usajili wa taasisi za fedha kadri ya sheria za Bank of tanzania act,2006 na banking and financial institutions act,2006 ufanywa na benki kuu.
Na jana pia leo katika magazeti benki kuu na pia wakala wa masoko ya pesa wamekiri kutoitambua deci na kusisitiza mtu atakaye jiusisha na biashara ya deci atakuwa anatarisha mtaji au peasa yake.
na pia ili ni kosa la jinai kujiusisha katika biashara hiyo ya deci au inayofanana na hiyo.