DEBATE: Money is better than education

DEBATE: Money is better than education

Thank you chairperson, opposers side, proposers side and all members on the floor.

I'm here to perpetuate this perpetuation which is already perpetuated by the other speakers...

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaanza kuchangia hivi kizungu chake yeye kilikuwa kinapanda sisi muda... huyo jamaa na hamu nikutane naye aseeh maana miongo imepita... kipindi hicho lugha naiskia tu nikitaka kusimama kuchangia misamiati yote inafutika nabali kisema you know you know.

Asprin uje hapa na Karucee .
namkumbuka, yuko humu mbona. anajiita #nyaningabu
 
From African perspective money is better

Ila kwa dunia education is waaay far better, kama sio edication basi dunia ingekuwa ipo kwenye zama za ujima, sijui hata tungekuwa hata na tunatumia hizo hela, tungekuwa tunafanya barter trade bado
 
Hii motion 98% ya shule zote duniani wameipitia... Kiukweli sijui ipi ni better kuliko mwenzie
Sisi tuliijadili hii mada ikaonekana upande wa wanaosema pesa ni bora kuliko elimu wameshinda, lakini walimu wakatulazimisha tukubali kua elimu ni bora kuliko pesa bila hoja za kutetea
 
Elimu ya UTAFUTAJI PESA mtaani ni better kuliko elimu ya darasani.
Tatizo watu hawajui maana kamili ya education. Education inaweza kutolewa formal au informal. Ukiona mtu anafanya vzr biashara ujue lazma ana elimu. Huenda kwao walishafanya biashara hiyo hivyo alikua huku anajifunza. Ndio maana watoto wa wamiliki wa vyombo vya usafiri huja kuwa wazuri ktk tasnia hiyo. Wachaga pia kufanya vzr biashara kwa kuwa mtoto anajifunza toka maduka ya wazaz wake.

Salun, ushonaji, upishi na fani nyingine zote watu hupata elimu yake ndio wanaifanya vzr. Elimu sio lazma iwe ya Ndalichako. Mtaani kuna elimu kubwa mara mia kuliko ya darasani.
 
Tofauti ya elimu na pesa ni.
ELIMU:Inamshepu mtu aishije.
PESA:inakushepu itakavyo.
Elim ni bora coz inakushepu..
 
Making Money needs Education, don't you know that nigger??
 
Education is better. You can mention any billionaire who is billionaire without education.
 
Yes, there is no innovation without education
Education is learning some innovations have come out accidentally not intentionally.., i.e. not through knowledge let alone acquired knowledge.., others through common sense (which is not taught)
 
Uko sawa mkuu watu wanashindwa kuelewa na fautisha kati ya Normal education ambayo ndo School na Self education ambayo unaweza jifunza mwenyewe
Kama education inayoongelewa hapa ni formal education in as much as skills alizonazo Bakhresa hazihesabiki kama education (yaani knowledge na skills) basi education haina maana yoyote.., hio formal education ambayo inakuwa determined na certificates.., simjui mzee Bakhresa ila katika application ya issues unajua mangapi amejifundisha hence self educated.. ?

Certificates zina maana moja tu.., yaani leseni ya kutambulisha unajua kitu fulani ili ufanye kazi fulani ili uweze kukidhi mwisho wa siku mahitaji yako..

Pesa nayo ni makaratasi tu.., ambayo hata yakiwa hayapo watu watafanya barter trade ya kubadilishana vitu.., kama unabisha refer Zimbwabwe au Argentina kipindi fulani yaani hilo karatasi la kutengenezea pesa lina thamani kuliko hata hio pesa...., kwahio most important things ni needs and wants za individual.., how to get those needs you might need money.., ila if education means LEARNING.., you can not survive without learning ( be it self taught or taught).., you will die...
 
Elimu yenyewe ya bongo hii unachosoma wala hakikusaidii mbeleni bora kutafuta pesa tunapoteza ada tu
 
Back
Top Bottom