Skills, knowledge zote hzo zinaunda elimu...edu is the trans of knowledge skills, etc. From one generaKabla ya yote lazima tujue elimu ni nini ?
Je elimu ni ujuzi ?
Na kama sio.., Je mtu anaweza kupata ujuzi bila Elimu ?
tofauti ya majibu hayo hapo juu yatapelekea mwisho tofauti.., Kama unaamini elimu ni ujuzi basi hakuna mtu ambaye hana elimu.., na bila ujuzi fulani huwezi kupata pesa..
Ila kama elimu sio ujuzi then..., knowledge is everything not education...
Kwahio swali kwenu.., Skills, Knowledge and Education is it one and the same ?, and Can one acquire skills without and knowledge without being educated ?

back in days my friend frida asante kunifundisha kimalkia Kuna undergraduate mmoja hapa kwetu muda si mrefu ametoka chuo.
Tangia asubuhi namuona anashinda tu ndani. Akitoka nje labda ameagizwa unga wa vitumbua na dada yake ,(Halima) mpika vitumbua maarufu hapa kwetu.
Huyu atakuwa main speaker wa opposer side.
Kuna mshikaji wangu mwingine, John Mchele. Huyu dogo darasani hakuwa vizuri nakumbuka alirudia darasa la nne mara mbili. Hatima ya elimu yake ilikuwa ni darasa la saba. Jamaa baada ya kufeli alichekwa sana. Aluanza kijishughulisha na biashara ya duka la vitu vya nyumbani lakini mpaka Leo ana nyumba, mke na usafiri wake (IST) . Huyu atawakilisha proposers.
Chairman: Nebuchadnezzar mwenyewe.
Language Correctors: JF mo.
NB: Lazima uanze kujitambulisha unatokea wapi na elimu yake ni ipi.
Ruhusa kutamba na kujisifia kama Boss Kiduk.
You are Welcome.
Kwa niaba ya Karucee na KasieThank you chairperson, opposers side, proposers side and all members on the floor.
I'm here to perpetuate this perpetuation which is already perpetuated by the other speakers...
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaanza kuchangia hivi kizungu chake yeye kilikuwa kinapanda sisi muda... huyo jamaa na hamu nikutane naye aseeh maana miongo imepita... kipindi hicho lugha naiskia tu nikitaka kusimama kuchangia misamiati yote inafutika nabali kisema you know you know.
Asprin uje hapa na Karucee .
Mtazame BakhresaHii motion 98% ya shule zote duniani wameipitia... Kiukweli sijui ipi ni better kuliko mwenzie
Naunga mkono hoja kama wabunge wa CCMEducation haijawai kuwa better kuliko money
Afu amlinganishe na Profesa Lumumba!Mtazame Bakhresa
Kasema yupo kalog out Instagram anafanya mambo mengine ila punde hivi atarudi na kuwa hewani.Kwani Mange Kimambi amesemaje kuhusu hili.