zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,073
monieees moniees moniees sweet all!!Money is better
But every person need something he/she haven't
monieees moniees moniees sweet all!!Money is better
But every person need something he/she haven't
Kama education inayoongelewa hapa ni formal education in as much as skills alizonazo Bakhresa hazihesabiki kama education (yaani knowledge na skills) basi education haina maana yoyote.., hio formal education ambayo inakuwa determined na certificates.., simjui mzee Bakhresa ila katika application ya issues unajua mangapi amejifundisha hence self educated.. ?Mtazame Bakhresa
Kwa niaba ya Karucee na Kasie
Napenda kuunga mkono hoja kwamba peana sisi Pesa ya kutosha bhana... Yaani kuwa na Pesa tayari unakuwa ushakuwa na elimu..
Narudia... Pea sisi hela nyingi sana.
Tutajenga madarasa na kuwalipa mishahara walimu wafundishe wazembe wasiopenda pesa....
Pesa pesa pesa... Pesa ni sabuni ya roho!
Sure, I understand... Whilst you are educated you're in a pole position to use your education especially 'Certifications' as a matter of 'Bond' and you can benefit from it by getting some 'Loans' as a compile. Let's back to Matchbook Index of 2017 it suggest that 7/10 from who are educated they requested loans comparing to 2/10 foresee.does one need education to innovate ?, I can tell you for sure without capital injection Research and Development dies even before it starts
Umefunga mjadalaSoma sana, tafuta hela nyingi. Hakuna kuacha kitu.
Hebu usije mpk weekend ipite. Nina kazi nataka nimalizane na shetani kwanza. Ananiletea ujinga kwenye mambo ya starehe..Ooh baby Asprin, eeh I mean Babu Asprin umerejea? Novena imeisha?
Kwani tukienda Rodizo bili inatatuliwa na elimu au pesa? Ukienda sheli kulisha kibito tunalipa kwa hela au elimu?
Majibu mwambie mtoa mada apigie mstari ticha aje kusahihisha.
Halafu nimepata notification yako tuu kiwi imepanda....
Sijui nije.....
K.
Hebu usije mpk weekend ipite. Nina kazi nataka nimalizane na shetani kwanza. Ananiletea ujinga kwenye mambo ya starehe..
Hebu twenzetu kwanza inbobo ukapeane mimi mawasiliano nikuoneshe kitu changu.
Ukisusa nakutenga kwenye urithi.