Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
Kuna undergraduate mmoja hapa kwetu muda si mrefu ametoka chuo.
Tangia asubuhi namuona anashinda tu ndani. Akitoka nje labda ameagizwa unga wa vitumbua na dada yake ,(Halima) mpika vitumbua maarufu hapa kwetu.
Huyu atakuwa main speaker wa opposer side.
Kuna mshikaji wangu mwingine, John Mchele. Huyu dogo darasani hakuwa vizuri nakumbuka alirudia darasa la nne mara mbili. Hatima ya elimu yake ilikuwa ni darasa la saba. Jamaa baada ya kufeli alichekwa sana. Aluanza kijishughulisha na biashara ya duka la vitu vya nyumbani lakini mpaka Leo ana nyumba, mke na usafiri wake (IST) . Huyu atawakilisha proposers.
Chairman: Nebuchadnezzar mwenyewe.
Language Correctors: JF mo.
NB: Lazima uanze kujitambulisha unatokea wapi na elimu yake ni ipi.
Ruhusa kutamba na kujisifia kama Boss Kiduk.
You are Welcome.