Dear Mama, See you later!

HAjakaa km rais kbs πŸ€” amekaaa km mama wakulea watoto wasiozidi wannee tu πŸ˜‚
Ni dalili ya mfumo mibovu tuliyo nayo --- raisi kua na mamlaka mengi.

Na swali lingine wasaidizi wengine na wstumishi wengine wanafanya kazi gani?

Maana haiwezi tumkatae SSH alafu baadae raisi mwingine circle ya mawaziri ile ile - watanzania hapa tunapigwa
 
 
Kabisa watu kama kina Bashe, Musukuma na wengineo ,miaka nenda rudi hakuna jipya
 
Kwani unadhani inaweza ikatokea tofauti ???!
Utabadili chupa tu lakini mvinyo 😳 ! Huwezi πŸ™„πŸ€£πŸ˜„ πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…