Kwa kuwa umemtaja Kikwete, sasa nataka wewe unijibu:
Barabara za lami kabla ya Kikwete na Baada ya Kikwete kilomita ngapi?
Shule za Sekondari?
Vyuo Vikuu?
Waalimu?
Zahanati?
Tuanza, nna kuhakikishia utadondokea puwa. Ulitaka tulichaguwe jitu ambalo hata kusema huyu ndio Rais wangu unaona haya? unanini wewe? vitendo huendana na muonekano. Kikwete mzuri na mambo hayo muhimu yote kayafanya vizuri, wacheni chuki zenu bila mpango.
Usitoke kwenye Mada waweza anzisha Thread nyingine tutakuja Kujadili
Safi sana sister umemaliza kila kitu!!Mpaka Page ya Tisa sijaona jibu ,nitarudi kesho tena ..
Miaka 50 ya uhuru tumejaribu tumeweza na tunasonga mbele ............................hii kauli mbiu sijui ya wapi.
Mpaka Page ya Tisa sijaona jibu ,nitarudi kesho tena ..
Miaka 50 ya uhuru tumejaribu tumeweza na tunasonga mbele ............................hii kauli mbiu sijui ya wapi.
And you will never see it, Kajipumzikie tu Mama wa Nchi
Kwanini nimjibie Rostam wakati mwenyewe kaweka wazi kila kitu? Mnanchekesha.
Soma zaidi:
Naona umekurupuka, pitia page namba 5 post #94 halafu uiweke hapa utwambie ni nini hicho? ukishindwa kufanya hivyo tutajuwa kuwa jibu umeliona lakini hukulipenda na huwezi kulitungia ngonjera.
Kwa kuwa umemtaja Kikwete, sasa nataka wewe unijibu:
Barabara za lami kabla ya Kikwete na Baada ya Kikwete kilomita ngapi?
Shule za Sekondari?
Vyuo Vikuu?
Waalimu?
Zahanati?
Tuanza, nna kuhakikishia utadondokea puwa. Ulitaka tulichaguwe jitu ambalo hata kusema huyu ndio Rais wangu unaona haya? unanini wewe? vitendo huendana na muonekano. Kikwete mzuri na mambo hayo muhimu yote kayafanya vizuri, wacheni chuki zenu bila mpango.
Unatekenywa!!Ha! Ha! Ha! Ha! Wanachekesha!
Hizi ni tabia za vichenchede!!Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
Unatekenywa!!
jibu swali, acha kujilamba midomo!
Kuwa kibaraka wa fikra ni kubaya kuliko kuwa mlevi mbwa!!!
Umeshindwa kujibu unajizungusha tu!!
Tushajua maoni yako kuhusu misimamo ya CCM kuhusu Rostam.
Thread closed.
Umeshindwa kujibu unajizungusha tu!!
Tushajua maoni yako kuhusu misimamo ya CCM kuhusu Rostam.
Thread closed.
1. Dk Daudi Balali
2. Benjamin William Mkapa
3. Patrick W.R. Rutabanzibwa
4. Nimrod Elirehema Mkono
5. Andrew J. Chenge
6. Basil Pesambili Mramba
7. Grey S. Mgonja
8. Nazir Karamagi
9. Rostam Aziz ( Akina Nape Wanadai wamelivua kutekeleza Maagizo ya Dr. Slaa)
10. Edward Lowassa
11. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mpaka sasa hivi naona kama mchezo wa Pwagu na pwaguzi, swali linaeleweka lakini mlengwa anashindwa kujibu.
Hizi ni tabia za vichenchede!!
unashobokea wallet na sura!!
Holy Crap!!