Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..
Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
FF welcome!
Najua FF anaogopa Kujibu Swali langu kwani linaweza kupelekea yeye Kukosa Mgao wa Vocha
Swali au maswali, liweke sawa basi, au? mbona ulijificha au bosi alikuwa karibu ukashindwa kutumia kompyuta kwa mambo yako binafsi?
Tofauti yangu na wewe ni Moja tu
Wewe unaingiza Kipato kulingana na Idadi ya Posts ulizobandika JF, mimi kidume ni Lazima nikabebe Zege ili Mkono uingie Kinywani.
Mabwana zako waliokutuma wanalalamika unawasaliti nimeona ni vyema ukaweka Msimamo wako
JE ROSTAM NI GAMBA HATARI KWA MUSTABALI WA CCM?
Kwanza, nakupongeza kwa kujitahidi kuliweka sawa swali lako. Naona darsa limekuingia.
Pili, nakupa pole sana kuendelea kubeba zege karne hii wakati wenzako wanatumia "concrete pumps", hiyo pekee inaonesha ni vipi bado uko nyuma ki mawazo na kimaendeleo.
Tatu, Kuhusu hiyo sentensi ya "mabwana zako" nakuomba rejea post #97 itakusaidia kutomtukanisha mamayo.
Nne, naona ulipokuwa unahangaika kubeba zege Bigirita alikusaidia kwa kujaribu kuliweka sawa swali lako na nikalijibu kwenye post #94. Unaweza ukasoma majibu na kama hujaridhika, mimi nipo hapa. Tuendelee.
Nimepitia Kurasa zote sijaona Jibu la Swali Nililouliza wala Jibu la Swali alilouliza Bigirita.
Very Simple Question
Rostam ni GAMBA?
Najua Huana Ujasiri wa
1: Kusema HAPANA Maana utawaudhi Wanaomwita Gamba
2: Kusema NDIYO Maana utamuudhi Rostma
Haya ndiyo Matatizo ya Kuvuta Kotekote Matokeo yake unakosa UJASIRI wa KUTAMKA HADHARANi kile UNACHOKIAMINI
Nilichogundua humu JF mtu ukitaka jina na umaarufu muanzishie thread Superstar wa JF FaizaFoxy...
Nimepitia Kurasa zote sijaona Jibu la Swali Nililouliza wala Jibu la Swali alilouliza Bigirita.
Very Simple Question
Rostam ni GAMBA?
Najua Huana Ujasiri wa
1: Kusema HAPANA Maana utawaudhi Wanaomwita Gamba
2: Kusema NDIYO Maana utamuudhi Rostma
Haya ndiyo Matatizo ya Kuvuta Kotekote Matokeo yake unakosa UJASIRI wa KUTAMKA HADHARANi kile UNACHOKIAMINI
Nadhan kwao ni shujaa,c alikuwa katika uchaguzi wa igunga
mpaka wewe gamba gumu unakana kama wewe sio sisiemu!!!!!!!!!!!!!!vipi NEPI hajakupa allowance yako ninin????????????Nani kakwambia Ritz ni CCM? unashangaza
mpaka wewe gamba gumu unakana kama wewe sio sisiemu!!!!!!!!!!!!!!vipi NEPI hajakupa allowance yako ninin????????????
Rostam anasema kwamba ameng'atuka BAADA ya NAPE na CHILIGATI ambao ni WAKRISTO Kumwita yeye ROSTAM (Ambaye ni Mwislam) GAMBA KUU HATARI KWA MUSTAKABALI WA CCM
NINI MSIMAMO WAKO?
Naomba tusiandikie mate na wino upo, hapo kwenye nyekundu mwanzo wa post yako unasema asemayo Rostam kwa hiyo ni wajibu wako kunipa reference. Mimi nimeweka maneno yote aliyosema Rostam wakati aking'atuka katika post #94, hayo unayoyasema wewe naomba nipe reference, kama hauna basi hayo ni maneno yako unataka kuyatia kinywani mwa Rostam na huo si mjadala mzuri, as a great thinker unatakiwa uwe makini zaidi ya hivyo hata magwanda wenzako watakucheka. Lete ushahidi kwa uyasemayo la sivyo ntakuona kuwa zege limekuchosha mwili na mawazo. Unanshangaza!
Utajuuta Kunifahamu, Naona unatafuta Mahala pa Kutokea leo HUTOKI HAPA