Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM


unatakiwa kujibu ulichoulizwa regardless ni swali au maswali, ishu ni jawabu ndicho kinachotakiwa hapo na sio swali au maswali
 
unatakiwa kujibu ulichoulizwa regardless ni swali au maswali, ishu ni jawabu ndicho kinachotakiwa hapo na sio swali au maswali

Hapana unakosea, katika "art" ya kujibu inabidi tuwe wawazi kwa maswali tunayotaka tujibiwe, hakuna ubaya mtu akirekebisha na kupanga swali au maswali yake vizuri ili apate majibu vizuri, akiyakubali akiyakataa huo ni uhuru aliokuwa nao. Lakini huwezi kuniuliza swali ukasema swali. Kwa kunitendea haki inabidi mniulize kwa mpangilio unaofaa. Kam ni swali nijuwe ni swali na kama ni maswali nijuwe ni maswali. Tupo pamoja.
 
Kweli FF ni mtu muhimu sana hapa JF, yani akiendelea hivi basi watanzania walio potea watarudi kwenye mstari. Mi naona humu magwanda wote wanasubiri mdomo wazi.
 
Hatimaye Kikongwe FF ashikwa pabaya.... Kumbe maneno ya uswahilina tu ukipelekewa hoja longo longo ka Mwenyekiti wako? Wakwere bana....

Naona aliyeshikwa pabaya ni muuliza swali / maswali, maana mpaka sasa anashindwa kuweka sawa ili ajibiwe ikiwa ni maswali au swali, unaweza ukamsadia, maana ndio kafikia upeo wake.
 
unatakiwa kujibu ulichoulizwa regardless ni swali au maswali, ishu ni jawabu ndicho kinachotakiwa hapo na sio swali au maswali
Hayo maswali au Swali si yapangwe vizuri ili mpate jibu, mnakaa kubishana upumbavu.
 
Kwani ALBEDO amekuomba UCHUMBA?

Jibu yake yangu yatafwata.

Ayapange vizuri maana naona maelezo marefu kuliko swali / maswali, sielewi swali ni lipi maelezo ni yepi? naomba mjulisheni aulize vizuri anaweza hata kuyawekea namba ili aeleweke kama ni mengi na kama ni moja tu litaeleweka, hivi nyinyi mmelielewa swali mumsaidie yeye na mimi kulielewa? naona muuliza swali / maswali kaingia mitini, sijui anatumia kompyuta ya ofisini na bosi yupo karibu? ananchekesha!
 
Ukiwa kibaraka huwezi kuwa mtu huru! huwezi kusema A ni A wakati MABWANA waliokutuma hawajasema A ni A na sio B.
\the best you can do is play M.kwere.......nyamaza au ongea yasiotakiwa! ......... Unajua wakati mwingine mtu aki-play dumb anaonekana ana akili kuliko ku-play m.kwere.

Toa msimamo wako hapo FF you cant be that worse!!
 

We uzee unakusumbua.
Kama uliweza kuchambua swali na maswali iweje usiweze kuelewa ulichoulizwa.
Wewe kikongwe unamatatizo.
Kama kasi ya humu hauiwez plz tupishe nenda kwenye blog ya MS.
Hapa hatutaki unafiki.
Mtu gani haujibu hoja unaleta utani?
We umezeeka.
Na utupishe.
 
Panga hoja wewe.......sio yeye apange maswali.
 
Panga hoja wewe.......sio yeye apange maswali.

Nipange hoja bila kuelewa swali unanchekesha? hoja ni zake yeye kwangu kuna ama swali ama maswali. Aweke sawa tuendelee, kinamshinda nini? Mnanshangaza!
 

Naomba tazama post #68
 

Naona umeanza kumshambilia FaizaFoxy badala ya kuuliza swali maswali, unanchekesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…