jamani hawa watoto, kama ndege kasuku...nawapenda
daddy umeona eehh!!!!
makopakopa
Malavidavi
Okey! One for the road then namuwahi wife![/QUOTE]
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Woooow my luvly hezbend... nami nakukojeeeeee, komaa tu wangu chipenzi me niko pouwa nakusubiri kwa hamu kweli kama mvua wakati wa kiangazi!!!
pokea salaam nyingiiiii toka kwa kijacho!!!!!
Husninyo? acha kumtia mauchungu The Finest!
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
Wewe unataka nini kwani?Kuna nini huku!?