Dear Babu Asprin...

aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread, au ninyi ndo wakoloni wenyewe?

Soma hapa chini...

babu hana mjukuu wa kiume. Ndo bahati nliyojaliwa na Mungu

and...

Jukuuz za kiume huthubutu hata kuuza baiskeli yako mwenyewe...yanataka yairithi eti... ukichelewa kufa hayachelewi kukuua. Jukuuz za kike zikishaolewa, zinagawana na babu wanavyopewa na waume zao. Mi nashukuru Mungu kwa kunipa them geloz jukuuz

Maskini Teamo, seems like u r in a wrong place.... jukwaa leo ni la"babu and kikez jukuuz"
akchwale.... G hajakwalifai... yeye ni kitukuu...lol...:sorry:
 
am rly sorry kwa kuchelewa kuona hili bandiko

funny-birthday-best-wishes-famous-free-quotes-for-funny-birthday.gif
 
Nyie wote hapo juu...

Ahsanteni sana kwa birthday wishes

Am veeeeeeeeeeeeery happy......... Happiest than ever!:smile-big::smile-big:

Kiongozi, nakutakia siku njema unapoadhimisha siku yako ya kuzaliwa.

Mnyezi MUNGU akujaalie maisha marefu kama yule bibi wa sudan kusini!!

Kwakuwa leo ni ijumaa, unaonaje tukikutana FUN CITY BEACH RESORT hapo ng'ambo, panakufaa sana kwa siku ya leo.

Muhimu kusanya geloz jukuuz zote kuja nazo ndani ya nyumba, tujionee uzuri wa uumbaji.
 
Some words of wisdom for your birthday babu Asprin, "Smile while you still have teeth!":smile-big:

HaPi BeSidei

Happy birthday dude.... pata bia tano kwa bili yako, nikitoka Musoma ntakuletea samaki aina ya nembe :A S 39:

umeona eeeeeeeeeeee babu, halafu leo unatakiwa unywe kwa staili hii

MJ1 usisahau kuja na pampas mtoto hatakiwi kunyanyuka kabisa leo . Ni mwendo wa kitoto toto tu sasa babu ole wako uamke kucheza kiduku

Happy Bday Asprin

Happy Birth Day Babu Asprin,

Ningependa kuchukua fursa hii na kusema kuwa miyaka inavyo zidi kuongezeka na capacity ya kunyuwa ze lager ina pungua.. Kwa hiyo nigependa kuku zawadia kinywaji kimoja kati ya hivi.

Enjoy your coming year...

images

happy b day babu

Nyie wote kwa mpigo....babu anasema ahsante

You guys are wonderful

Babu loves nyie all!:amen::amen:
 
Hahahahaaaaa.....klasimeti wa ukweli.

Umekula senksi. na nimekusoma pia hapa:

USITAFUTE HESHIMA KWA KUUZA DHARAU.
 
Hahahahaaaaa.....klasimeti wa ukweli.

Umekula senksi. na nimekusoma pia hapa:

USITAFUTE HESHIMA KWA KUUZA DHARAU.

Sawa sawa kabisa kiongozi wangu.

Mshukuru sana Mnyazi MUNGU kwa kukujalia kukutana na kufahamiana na mafriends na flowers waliokuzunguka, hakikisha humpotezi hata mmoja, manake hao wamechangia kwa kiasi kikubwa hadi umeweza kufika hapo ulipo hivi leo.

Heshimu kila mtu kiongozi wangu hata kama mna itikadi tofauti za kidini, kisiasa, kijamii, kiutamaduni, kikabila, kiumri hata na kielimu.

Heshima mbele kama tai ya mbunge wa uingereza(hasa ile iliyopiga muziki wakati anatoa hoja bungeni juzi kati):smile-big: Na mimi sina shaka kabisa kwamba hujawahi kuwa na matatizo na wajukuu zako ukizingatia ni geloz jukuuz, ingawa wapwaz mara moja moja huwa wanakuzingua lakini unarekebisha.
 
umeona eeeeeeeeeeee babu, halafu leo unatakiwa unywe kwa staili hii

MJ1 usisahau kuja na pampas mtoto hatakiwi kunyanyuka kabisa leo . Ni mwendo wa kitoto toto tu sasa babu ole wako uamke kucheza kiduku

Clearing usikonde mpenzi wangu
Nshazikusanya pale Mummy's shop.
 
Back
Top Bottom