Dear Babu Asprin...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Dear Asprin

Natumai waraka huu utakukuta ukiwa physically fit and chemically balanced. Najua utashangaa sana kwa nini MJ1 ameamua kufikia hatua hii ya kukuanika hapa jamvini, but jua tu kuwa ni kwa kuwa yeye na wanajamvi wengi tu wanakupenda sana.

Kwa mantiki hii basi, ninapenda kuchukua nafasi hii kukueleza kuwa leo hii, tarehe ya leo MJ1 pamoja na JF-MMU nzima inakutakia HAPPY BIRTHDAY............ Sala zetu tunazielekeza kwa Mwenyezi MUNGU ili akupe wewe, Bibi, Matesha na wote wanaokuhusu, afya njema na maisha marefu.

HAPPY BIRTHDAY BABU..........:A S crown-1::msela::peace::humble::grouphug::horn::cheer2::violin:
Its me Mjukuu Original kwa niaba ya wanaMMU na JF kwa ujumla.
 
babu lina ma zali kweli wiki hii, linaanzishiwa ma sredi tu. hongera jibaba kwa kuongeza tena mwaka mmoja katika kalenda yako.
 
Happy birthday Man............endeleza lile babu yako alokwambia, tumia maneno yako kuwafanya watu wafurahi na sio fedha kwasababu fedha zinaisha bali maneno hayaishi.

Na haya maneno uyatumie mara nyingi sana unapokuwa unashiriki na familia kwenye ubwabwa na kibua.
:drum::drum::cheer2::cheer2::rockon::rockon::violin:
 
Happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear babu happy bithday to Uuuuuuuuuu!!!

:eek::: how old are you now, how old are you now...........:::0::
 
Happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear babu happy bithday to Uuuuuuuuuu!!!

:eek::: how old are you now, how old are you now...........:::0::
Tunasubiri jibu lako kule 'asante tamwa'.
 
Hongera kwa kuzaliwa siku kama ya leo, sasa babu ukiamka utujulishe zawadi tunatuma vp. Mi nina koti zawadi ya babu staili ya pasua nij**be hapa. Sijui kama utalifurahia?
 
Dah unazali kweli wiki hii mara post poa mara happy birthday!!!

Hongera kwa kuzaliwa Babu live longer bana!!!!

Siku njema hongera kwa kuongeza miaka yako.
 
Hongera Babu kwa kuzaliwa, kumbuka kutumia haya maneno ambayo Babu Bigirita naye ameyasema Heri umfurahishe mtu kwa maneno matamu kuliko kwa pesa nyingi....kwa sababu pesa yaweza kuisha, lakini maneno huwa hayaishi......

HAPPY BIRTHDAY UBARIKIWE, BTW NAMSUBIRI MATESHA AKUE KAMA TULIVYOWEKEANA AHADI.

Mjukuu wako

The Finest.
 
Maneno matamu sawa vipi kuhusu uelewa wa unayemlenga hasa kwa wATz wakawaida,unajua wao huona bora kitu na mikono mitupu hailambwi. Happy birthday last longer, heal the past, live the present dream the future.
 
Happy Birthday Babu.......
May you live longer and happier everyday.........
xoxoxoxoxo...............:smile-big:
 
Happy birthday dear Asprin, binamu original. Kitu cha kunishangaza ni kwamba unashare siku hii ya kuzaliwa na mume wangu kipenzi, Kama mie nvyoshare siku yangu na Teamo aka baba gift, what a coincidence lol..Have a blast day
 
Kiongozi, hii ni siku muhimu sana kwako na kwetu...
Happy Birthday to you broda...
May you stay to the end of times!
 
Dear Babu Asprin....

mail

and.....

mail

Happy Birthday Babu Asprin.... May you live to Blow 101 Candles...

Keki zako hizi hapa....

pic3.jpg pic1.jpg pic4.jpg Bd100.jpg pic2.jpg

Sababu nyingine tena ya Eliza kukufungulia Serengeti na Valuu za baridi.
Sababu nyingine tena ya kula kibua, maziwa ya mgando na familia.
Sababu nyingine tena ya mimi kuwa na furaha maana matesha sasa amekua and its the right time for me.
 
Sababu nyingine tena ya Eliza kukufungulia Serengeti na Valuu za baridi.
Sababu nyingine tena ya kula kibua, maziwa ya mgando na familia.
Sababu nyingine tena ya mimi kuwa na furaha maana matesha amekuwa and its the right time for me.

Sababu nyingine ya kuendeleza mpango wa Nje....
 
Dear Asprin

Natumai waraka huu utakukuta ukiwa physically fit and chemically balanced. Najua utashangaa sana kwa nini MJ1 ameamua kufikia hatua hii ya kukuanika hapa jamvini, but jua tu kuwa ni kwa kuwa yeye na wanajamvi wengi tu wanakupenda sana.

Kwa mantiki hii basi, ninapenda kuchukua nafasi hii kukueleza kuwa leo hii, tarehe ya leo MJ1 pamoja na JF-MMU nzima inakutakia HAPPY BIRTHDAY............ Sala zetu tunazielekeza kwa Mwenyezi MUNGU ili akupe wewe, Bibi, Matesha na wote wanaokuhusu, afya njema na maisha marefu.

HAPPY BIRTHDAY BABU..........:A S crown-1::msela::peace::humble::grouphug::horn::cheer2::violin:
Its me Mjukuu Original kwa niaba ya wanaMMU na JF kwa ujumla.

My dearest orijino and festi mujukuu:

YES IT IS MY BIRTHDAY!!!

:welcome::welcome::smile-big::smile-big::amen::amen::peace::peace::msela::msela::drum::tea::cheer2::lalala::A S-heart-2::violin::llama:

Namshukuru Mama yangu kwa kunileta duniani, kunilea vema na kunitunza vema
Namshukuru baba yangu kwa kunileta duniani, kunilea vema na kunitunza vema

Wazazi wangu, kwa malezi yenu: SASA NAISHI NA WATU VIZURI!!!

Ahsante mama Matesha kwa kunipenda na kunijali
Ahsante mabinti zangu Matesha na Mamshanga kwa kunipa furaha
Nawashukuru marafiki zangu kwa kunipenda, kunijali, kunisaidia na kunishirikisha.
Nawashukuru wana JF kwa upendo wenu kwangu.

Wajukuu: Nawapendeni sana
Wapwa: Pamoja daima.:welcome::welcome:

Babu anazidi kuzeeka, babu anazidi kulitafuta kaburi....lakini hakika atakufa kwa furaha kwa sababu yenu!
 
Back
Top Bottom