Huyu rasta namshangaa kumdondokea mai waifu wangu!usituzingue wenzako alaa!!
kama umempenda basi barua yao sharti iwe na kishika uchumba!!
halafu utulie tukutaajie mahari yetu.
hapa mjini hakuna swala la moyo umekudondokea lkini sila pesa............hiyo ni big NOOO
ndugu,jamaa na marafiki...naomba waraka wangu special umfikie huyu dada,BINTI AMU.nimetokea kumdondokea sana kwa moyo wangu huyu binti.waungwana kama kunayoyote ambae anammiliki huyu kimwana aseme maana ndo na start
waungwana kama kunayoyote ambae anammiliki huyu kimwana aseme maana ndo na start
kweli we bazazi....nimekupa saluti,mi nataka kujiweka hapo bana staki kufunua na kufunika,nataka pumziko la rohoSikujua wanawake wanamilikiwa kama kumiliki gari
Ndio sababu Bazazi huwagegeda tu na kuwa-dump
Sitaki kumiliki wala kumilikiwa;
Ukiweza kula mayai yanini kuvuga Khunkhu
Ujenge Banda, Ulinde vicheche, Usafishe banda
Na kisa nyumba inakuwa na harufu ya mavi ya kuku
Taabu ya nini,
Kwa kweli sioni cha kufia
Lakini nimeipenda tahadhari yako.
Ingawa "anayemilikiwa hana gharama"
Unagegeda unasepa wala hajali
Bazazi!
ngastuka masawe
bado sijamtongoza nimejaribu kueleza isia
Sikujua wanawake wanamilikiwa kama kumiliki gari
Ndio sababu Bazazi huwagegeda tu na kuwa-dump
Sitaki kumiliki wala kumilikiwa;
Ukiweza kula mayai yanini kuvuga Khunkhu
Ujenge Banda, Ulinde vicheche, Usafishe banda
Na kisa nyumba inakuwa na harufu ya mavi ya kuku
Taabu ya nini,
Kwa kweli sioni cha kufia
Lakini nimeipenda tahadhari yako.
Ingawa "anayemilikiwa hana gharama"
Unagegeda unasepa wala hajali
Bazazi!