Sahihi mkuu..ni uamuzi mzuri sana..unaepuka pia migongano na members kwa kipindi fulani.Hiyo ni fact kabisa mkuu , Mimi Kuna kipindi , nilipanga nisitumie hii ID nipotee Jf kwa mwezi mzima niwe nasoma habari tu kama guest na nikafanya hivyo
Niwe mkweli ni combination ya yote mawili mazingira yalisababisha hivyo na uamuzi binafsi piaJambo jema mkuu,kuwa nje ya mitandao kwa muda..vipi uliwezaje ? Yalikuwa ni maamuzi tu au kuna jambo lilikufanya kuwa nje ya jf kwa muda.
Nmefanikiwa kuwa nje ya whatsapp kwa karibia miezi minne sasa,..target niende mwaka.
Ni simu ya ofisi binafsi tu ndo ina whatsapp kwa ajili ya mawasiliano na wateja..na simu inabaki ofisini.
Uamuzi mzuri mkuu...maana addiction ya social nerworks now a days ni kubwa mnoo.Niwe mkweli ni combination ya yote mawili mazingira yalisababisha hivyo na uamuzi binafsi pia
Ila sometime huwa naamua kutokuwepo mitandaoni kuanzia jioni,na ninachofanya siweki bando kwahiyo mchana natumia wifi ya ofisini halafu nikitoka tu saa kumi na moja nakuwa offline kwa style hiyo huwa natoboa nikijisikia nataka kupunguza destruction
Ni kweli kabisaUamuzi mzuri mkuu...maana addiction ya social nerworks now a days ni kubwa mnoo.
Bottom line : Wewe ni upindeπUmekariri ID yangu mpaka kugundua na Kunote sehemu zote ninazo zungumziwa wakati Mimi hata jina la ID yako silijui ?
Kazi nzuri kijana inabidi nikuajiri uwe secretary wangu kazi yako kuzunguka majukwaa yote kuangalia namna gani nazungumziwa kisa unaSumnarize na kunipa taarifa maana inaonyesha upo vizuri kunoTe matukio yote kuhusu Mimi .
Ukiona mambo ya hovyo dhidi yangu basi jua hiko ni Kikundi cha Mapunga na wanywa Visungura wa Jf kazi yao kujadili watu na kutukana , na Mimi ndio kiboko yao nawapelekea moto vibaya na kuwafuchua ndio maana Wana chuki kubwa sana dhidi yangu
Na ushahidi juu π
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa , ushafilisika hoja na sasa ujinga wako ushadhihirika , haya asante ndugu kizazi Nyabumbu de Scumbabag DujeumsaengmitaBottom line : Wewe ni upindeπ
Mwenyekiti uplatinamu umeutoa wapi?π€£π€£Kwa sauti ya T.I.D
"Who is this guy" π
ππMbona 2023 ulikuwepo sanaa
Kafa kitambo tushamfukia.Hapana ,dah Bro katangulia aisee.RIP