Kwa kiasi fulani inakuwa ngumu ku-judge ukweli ni upi kwenye mkasa huu kwa sababu: Dr.Mwakyembe na Sitta ni wanasiasa wanaokubalika na wanaoheshimika kwa watu wengi(its my opinion).
However Mwakyembe hakuwa tayari kutoa evidence kuwa alilishwa sumu,how comes Sitta anakuwa ndie msemaji wa kunadi ugonjwa wake?Kwa maana Sitta sio msemaji wa familia ya Mwakyembe au msemaji wa jeshi la polisi.
Na kama DCI taarifa alizotoa kazipata wizara ya afya na hospitali India alikotibiwa,kwa nini tusikubali hizi ndio taarifa sahihi,na hizi zinazotolewa na Sitta ni "MINONG'ONO YA MITAANI". Wakati mwingine tusiwe wepesi wa kufata hisia zetu ku-judge ukweli ni upi! Unless kama Robert Manumba katoa taarifa zisizo sahihi kwa umma.