johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,947
- 141,922
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi.
Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo wasipokelewe bali waelekezwe kwenda ofisini kwake kwa hatua zaidi.
Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo/shule kutekeleza agizo la Rais Magufuli linalohusu ufunguzi wa shule kwa ufanisi mkubwa na wasiruhusu siasa kwenye taasisi wanazoziongoza.
Chanzo: Eatv habari.
Maendeleo hayana vyama!