Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Hata akihukumiwa kukaa jela saa 3 Udhalilishaji utakuwa umeshindwa na nguvu ya haki,demokrasia itaanza kuota ndani ya vichwa vya viongozi wote wanaofikiri kwa masaburi kama Gambo, Mnali n.k
Alafu huyu jamaa kwenye red kwao kule Nachingwea wamempa uongozi wa ccm wilaya kama mwenyekiti. CCM imeoza! tukiwambia watu hawaelewi! ndio sababu wanaweza kumpiga mtu kwa bomu kisha usishangae kesho yule kijana askari mtuhumiwa ukakuta ni ofisa wa polisi. Nchi ya wajinga watawala wajinga na watawaliwa wajinga pia.