DC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani

Chupi ya bikini? Au chupi ya kina hunterz Aunt Ezekiel na Wema...
 
Aligombea UBUNGE wa EA akakwanguliwa na Wabunge wa CCM alipata kura MMm kwa kifupi chache zaidi ya William John Malecela... Na bado akabeba CHEO CHA UKUU WA WILAYA; Tangu lini mtu aliyesomea Masomo ya Computer Science awe na Uwezo na HEKIMA ya kuendesha WILAYA bila MATUSI ??? Kubebana wanajua kuna ULAJI sehemu fulani, lazima waungane waubebe wale hizo pesa
KIONGOZI MKUU THE PRINCE...

Mkuu hapo ntakwenda kinyume na wewe kidogo, ni kweli Gumbo kafanya makosa kwa kumtukana dada wa watu lkn kusema kuwa eti mtu aliesoma masomo ya computer science eti hawezi kuwa mkuu wa wilaya nakataa kabisa.Kwani ukuu wilaya na ukuu wa mikoa au hata uwaziri na ubunge unahitaji mtu aliesomea nini.cheo serikalini hakisomewi kwa sababu cheo unapewa tu
 
Unapiga kelele za nini wakati hawa wa kuu wa wilaya ndio wana tekeleza sera za chama chenu!
Tatizo hapa ni neno "chupi"
Tulia chini mahakama si soko!

Mwanasheria atakwenda kuthibitisha kuwa hakupewa marks za chupi!

Bila shaka haki itatendeka na mmoja wao kuhamishwa kama kawaida yenu!

Toa uzoba wako computer science ndo kigezo kwani.Mbona mtu ana phd ya dini lakini ni kiongozi wa chadema.Viroba mara nyingi mwisho wake sio mzuri
 
Next Gambo anahamishiwa Tunduru na kesi inakufa

Kesi haitakufa mkuu nakuhakikishia. Tena abaki hapo hapo ili iwe rahisi kuhudhuria kesi. Hii kesi ni ya aina yake na ninakuambia DC wa kupewa kishkaji imekula kwake!! Ngoma inogile!!
 
Next Gambo anahamishiwa Tunduru na kesi inakufa
tatizo la utandawazi kuleta simu zenye internet, kila mtu mjuaji wa kujibu hata mada asiyoijua.Mdau ni lini kuondoka kwenye eneo fulani hupelekea kufuta kesi?mlalamikiwa asipofika mahakama, kesi itaendeshwa kwa upande mmoja, na kutoa haki kwa upande unaohudhuria au unaolalamika.Mwache ahamishwe kama hatakula mvua kumdharlisha na kupekea kukosa hadhi kisheria kupata madaraka katika serikali kuwa kuwa mfungwa.Kesi haiwezi kufa kwa gambo kuhamishiwa tunduru

ndio aina ya viongozi tulionao hii,, alijisahaulisha kama yeye ni mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa kamati ya usalama wilaya mpaka kufikia hatua ya kumdhalilisha dada wa watu kiasi hiki anyway ngoja tuiachie mahakama ifanye kazi yake
 
Mkuu hapo ntakwenda kinyume na wewe kidogo, ni kweli Gumbo kafanya makosa kwa kumtukana dada wa watu lkn kusema kuwa eti mtu aliesoma masomo ya computer science eti hawezi kuwa mkuu wa wilaya nakataa kabisa.Kwani ukuu wilaya na ukuu wa mikoa au hata uwaziri na ubunge unahitaji mtu aliesomea nini.cheo serikalini hakisomewi kwa sababu cheo unapewa tu

Trust me Most real programmers would probably say no. Many Computer Scientists and Programmers only have high school degrees and some technical training. Programming is a real meritocracy; people can judge you on your work, not your resume.

The degree and know-how get your foot in the door and make quick $$$ so need for politics?? @ that stage you get paid higher than even a politician so why bother?

Kazi hii bado ni rare hapo Tanzania na inakua kwa kasi; wanahitaji experience employees; and vast specialization na kama Unaijua vizuri; ni kazi ya kula kwa Mrija; ni double figure job I mean in US $$$...

Computer Science has matured as a field of study pamoja na kuwa ni changa USA kwenye makampuni wanaofanya kazi IT ndio wanaolipwa pesa nyingi zaidi ya wengine kwanini bongo Ukimbilie SIASA...

Alipokuwa IT hana haja ya kuwa na ADUI na kuanza kufanya kazi kwa Mikato na kufuata HOJA za CHAMA; Ukishaingia Kwenye SIASA; Mtu aliyesomea MULTI-NETWORKING; Sasa utakuwa unafuatilia One Arm Network ya kichama; Sidhani Watu wenye Profession kama hizi ni Wazuri kwenye SIASA na hakuchagua AMENYOFOLEWA; Sidhani hata kama alikuwa anapenda SIASA Darasani; Yeye alikuwa ni MTU wa MERITOCRACY sio AUTOCRACY...
 
Anatakiwa alipwe nusu mshahara kama sheria inavyotaka kwa mtumishi wa umma anapokuwa na mashtaka.
 
Ndo matatizo ya kuwapa madaraka vijana ambao hata hawajamaliza balehe, kisa unataka kumkomoa Laigwanan. Ona sasa aibu yake mkuu wa wilaya ndio aibu ya aliyemteua na ndio aibu ya swahiba wa mteuliwa bw Riziwan

Mkiambiwa mlichagua kiongozi mwenye kichwa kilichojaa sawadust mnabisha; sasa oneni matokeo ya wale aliowateua!!
 
Aligombea UBUNGE wa EA akakwanguliwa na Wabunge wa CCM alipata kura MMm kwa kifupi chache zaidi ya William John Malecela... Na bado akabeba CHEO CHA UKUU WA WILAYA; Tangu lini mtu aliyesomea Masomo ya Computer Science awe na Uwezo na HEKIMA ya kuendesha WILAYA bila MATUSI ??? Kubebana wanajua kuna ULAJI sehemu fulani, lazima waungane waubebe wale hizo pesa
KIONGOZI MKUU THE PRINCE...

Hapo uliposema ukisoma computer science unashindwa kuongoza Wilaya unakuwa umekosea sana ndugu! Eb fanya mabadiliko na ututake radhi kabla hatujakuumbua!
 
Itabidi pia aithibitishie mahakama kuwa degree yake si ya chupi. Na Dc itabidi athibitishie mahakama kuwa degree ya mtuhumiwa wake ni ya chupi.

Binti atathibitisha kwa kuonyesha cheti halisi ambacho ni cha karatasi sio chupi.

Ushauri: DC aonyeshe mahakamani hiyo degree ya chupi ikoje! Ni cheti au masomo yanaitwa chupi?
 
Hapo uliposema ukisoma computer science unashindwa kuongoza Wilaya unakuwa umekosea sana ndugu! Eb fanya mabadiliko na ututake radhi kabla hatujakuumbua!

Yaani Unataka kuniambia kweli huyu ni Career Politician ??? Mtu angeweza kupata pesa zaidi ya Mwanasiasa Anayekimbia kimbia JUANI na kushikana Mikono na kila mtu hiyo kazi ya SIASA inahitaji MOYO wa kujituma na VIATU VIWE VISIWE na SOLI sawa lakini kukaa jukwaani na kuongelea HOJA MPAKA mwananchi akukubali MTU wa IT sioni kweli kama itampelekea kuwa a CAREER CHANGE; labda upate ya kubebwa but still... U can at least LAWYERS wanajua kukaa kwenye DAWATI MUDA MREFU na kuongea but an IT Person... SIJUI Unataka kulinganisha na CALL CENTER taht's not an IT PROFESSION...
 
Back
Top Bottom