DC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani

DC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani

Hata akihukumiwa kukaa jela saa 3 Udhalilishaji utakuwa umeshindwa na nguvu ya haki,demokrasia itaanza kuota ndani ya vichwa vya viongozi wote wanaofikiri kwa masaburi kama Gambo, Mnali n.k
 
Hofu yangu ni hawa jamaa wa mabwepande kuanza kumuwinda huyu mwanasheria na kutishia kibarua chake!
 
Naomba namba ya simu ya huyu mama aliyedhalilishwa kweupe, nataka kumchangia kwenye hii kesi. Hivi mume, baba, au kaka zake huyu mwanasheria wanajisikiaje? Unapoambiwa mama yako alipewa degree ya maksi za chupi?
 
Toa uzoba wako computer science ndo kigezo kwani.Mbona mtu ana phd ya dini lakini ni kiongozi wa chadema.Viroba mara nyingi mwisho wake sio mzuri
Aligombea UBUNGE wa EA akakwanguliwa na Wabunge wa CCM alipata kura MMm kwa kifupi chache zaidi ya William John Malecela... Na bado akabeba CHEO CHA UKUU WA WILAYA; Tangu lini mtu aliyesomea Masomo ya Computer Science awe na Uwezo na HEKIMA ya kuendesha WILAYA bila MATUSI ??? Kubebana wanajua kuna ULAJI sehemu fulani, lazima waungane waubebe wale hizo pesa
KIONGOZI MKUU THE PRINCE...
 
Inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa serikali wasivyokuwa na mamoja (harmony) katika kufanya shughuli za maendeleo.
Huyu kamtukana mwenzake, huyu kaenda mahakamani. Ina maana hakuna tume ya maadili ambayo inaweza kutatua huu mgogoro bila kupoteza muda wa wananchi na fedha zao?
Kuna watu wanasota mahabusu kutokana na mrundiko wa kesi halafu wanatuongezea kesi zisizo na maana tu. Halafu mabosi (sio viongozi) wao wanaangalia tu!
Huu mfumo wa utawala umeshaoza, hautakiwi kuendelea kuwepo! Hakuna nidhamu, hakuna maadili!
 
akili yake nisawa na aliyemteua wanawaza ngono tuu akili yote inawaza chupi.
 
...aliyemteua DC nae ana uzoefu wa chupi ktk uongozi !!!

Ndo matatizo ya kuwapa madaraka vijana ambao hata hawajamaliza balehe, kisa unataka kumkomoa Laigwanan. Ona sasa aibu yake mkuu wa wilaya ndio aibu ya aliyemteua na ndio aibu ya swahiba wa mteuliwa bw Riziwan
 
Kwa jinsi nilivyokuwa nafuatilia siasa za magamba arusha uvccm na matamshi ya ali bananga katika mkutano wa hadhara hapa morogoro huyu jamaa ni mdhaifu kweli kweli aliyekatika serikali yake dhaifu na ni janga la kitaifa! Ataiharibu korogwe huyu!!! Degree ya chupi wewe inakuashia nini? Na yakwake ya kudesa je!!!
 
Toa uzoba wako computer science ndo kigezo kwani.Mbona mtu ana phd ya dini lakini ni kiongozi wa chadema.Viroba mara nyingi mwisho wake sio mzuri

Watu wa DINI angalau wanafundisha HEKIMA; Mimi niko kwenye IT sidhani utakuwa na subira ya kurekebisha matatizo ya network unakimbia huku na kule muda woote uko busy; halafu unaingia kwenye OFISI isiyo na hata UMEME Unaangaliana wewe na UKUTA TU; IT Haukama mahali pamoja mara hapa mara pale OFISINI NI CHUMBA TU; if it is a real IT PROF; na alikuwa AICC kwahiyo kazi yake ilikuwa serious...

Angalia UNALETA UDINI na wakati tunaongelea a JOB PROFESSION; UMEFILISIKA WEWE MCHOVU KWELI
 
Toa uzoba wako computer science ndo kigezo kwani.Mbona mtu ana phd ya dini lakini ni kiongozi wa chadema.Viroba mara nyingi mwisho wake sio mzuri

Yaani unaleta UDINI kumtetea huyu KIJANA basi kwa kuwa ni MWISLAMU; Umesahau aliyedhalilishwa ni MSICHANA; MWANAMKE; MSOMI; MWISLAMU ??? HAUONI HAYO ??? NILI UTASTAARABIKA ???
 
hawakupikwa vizuri kwa ajili ya kuongoza ndio matokeo yake hayo
very well said. Na hikihiki ndicho kinachonitisha kwa vijana kukimbilia uraisi. Wengi wanaongozwa mno na hisia. Sijaona kijana yeyote kwenye siasa aliyewiva kuwa raisi so far.
 
Juzi juzi nimesikia taarifa kwamba alikwenda kuzuia mabasi ya kampuni moja yaliyokuwa yanafanya safari za dar-arusha yasiendelee na safari hadi wasafiri wa mabasi hayo waliposhuka na kuziba barabara kuu ndipo mabasi hayo yakaruhusiwa kuondoka.
Huyu bwana mdogo hana busara kabisa sijui JK alimuokota wapi.
 
Back
Top Bottom