DC mpya wa Ikungi, Singida atumbuliwa ndani ya masaa 24

Taarifa ya kwamba Mkuu wa wilaya Ikungi aliyeteuliwa jana Bw.Fikiri Avias, uteuzi wake umetenguliwa leo, (ndani ya saa 24) kabla hata hajaapishwa imeniacha na maswali mengi sana. Pamoja na kwamba tunaheshimu mamlaka ya uteuzi lakini nadhani ipo shida mahali fulani. Kama ndugu Fikiri hakupaswa kuwa kwenye nafasi hiyo ilikuaje haikujulikana mapema hadi akatangazwa? Nadhani hii si habari njema sana kwa mamlaka husika. Rais wetu mwema Magufuli anapaswa kuchukua hatua zaidi ili kujiridhisha na wateule wake kabla haja"publisize". Anyway namtakia majukumu mema DC mpya wa Ikungi Bw.Miraji Mtaturu ambae alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza.!

Malisa G.J
 
Rais Magufuli siyo malaika. Na siyo kila kinachofanywa na kurekebishwa no chance kuletwa hapa JF .....
 
1467055066755.jpg
 
jina lilichomekwa na wajanja........iliwahi kutokea hata enzi za JK. Hapa lazima watu watumbuliwe, Rais wetu mpendwa haiwezekani akachezewa kama hivi.
 
What if file lake limekuwa wazi baada ya kutangazwa.. nikimaanisha baadhi ya taarifa zilikuwa hazijulikani lakini baada ya watu kuona jina lake wakazitoa..
 
si busara kumpa mtu ofisi usie mjua vizur, nadhani ndo busara
 
Back
Top Bottom