DC mpya wa Ikungi, Singida atumbuliwa ndani ya masaa 24

Ina maana wanateuliwa bila kujulishwa? Acha uongo
Tuachane na utaratibu wa ku suprise vyeo. Ndugu Kinana aliwahi kukataa nafasi ya Ukuu wa Mkoa wakat wa Jakaya, Jk akasema alijifunza tangu hapo akawa ha consult mtu akitaka kumteua, Prof Muhongo nae awali alikataa mara tatu uteuzi mpaka alipoteuliwa tena bila ya kutaarifiwa awali.
Jamaa aache shuguli zake zinazompatia kipato cha siku moja sawa na pato la DC la wiki nzima tena bila ya kunyenyekea nyenyekea wala kujipendekeza pendekeza
 
DC mpya wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida Mwl. Fikiri Avias Saidi uteuzi wake umetenguliwa leo, ameteuliwa ndugu Miraji Mtaturu ambae alikuwa katibu wa CCM mkoani Mwanza.

Ngoma inogile.
Enzi za uyu mwenzetu zimeisha.Uyu Mhe.JPM anatisha yaani mtu kalala vizuri jana alafu leo sijui itakuaje.
 
MIRAJI MTATURU anapelekwa pale kimkakati kumaliza nguvu ya Tundu lissu
 
Tuachane na utaratibu wa ku suprise vyeo. Ndugu Kinana aliwahi kukataa nafasi ya Ukuu wa Mkoa wakat wa Jakaya, Jk akasema alijifunza tangu hapo akawa ha consult mtu akitaka kumteua, Prof Muhongo nae awali alikataa mara tatu uteuzi mpaka alipoteuliwa tena bila ya kutaarifiwa awali.
Jamaa aache shuguli zake zinazompatia kipato cha siku moja sawa na pato la DC la wiki nzima tena bila ya kunyenyekea nyenyekea wala kujipendekeza pendekeza
Ktk hili watu huwa hawaelewi!! Ni sawa na Mimi niache ekari 300 za mpunga plus part time kufundisha vyuo 3 nikawe DC Tandahimba!! Biashara kichaa!!
 
Back
Top Bottom