DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJF,

Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni


DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.

Chanzo: Dar Mpya
 
Hawa watu akili hazipo

Hawajui Mungu aweza yote na Lissu ni uwepo wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaye bisha akamuu,uze NDULI IDD AMIN anawafahamu sana askari wetu na namna walivyo mfanyia kitu mbaya.
 
Alafu mtu kama huyu DC na wa aina yake... nikisikia gari lake limeacha njia pale Dumila nikamsaidie au nisikitike kwa kuandika R.I.P !!??
-Mungu utanisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…