DC kachakachua jina la Yatima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC kachakachua jina la Yatima

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Msichoke, Jul 14, 2011.

?

Je tutafika?

Poll closed Jul 19, 2011.
 1. yes

  1 vote(s)
  14.3%
 2. No

  6 vote(s)
  85.7%
 1. Msichoke

  Msichoke JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  Philimon Shelutete Dc wa Geita anatuhumiwa na Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Geita kwa kuchakachua nafasi za ufadhili wa masomo kwa ajili ya watoto wanaoishi mazingira magumu zinazotolewa na kampuni ya Mgodi wa Geita na kuweka jina la mtoto wake.Je tutafika kwa stahili hii?
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli huyo ni wakulaaniwa moja kwa moja.
   
 3. Msichoke

  Msichoke JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  Philimon Shelutete DC wa Geita anatuhumiwa na Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kwa kuchakachua nafasi ya ufadhili wa masomo kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu inayotolewa na kampuni ya mgodi wa Geita.alichokifanya DC huyo ni kupachika jina la mtoto wake Robert Shelutete hili asaidiwe!je tutafika kwa stahili hii?
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  CCM wamesha zoea laana na kulaumiwa hawana haya hata kidogo .Huku posho huku dhuluma hadi kwa yatima ? Haya JK na mzigo wako .
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ndiyo 'magamba' ya CCM hayo. Wakifanikiwa kuyavua yote watabaki skeleton maana hakuna hauweni zaidi ya mwenzie.
   
 6. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kaaaazi kweli kweli. By the way nimesikia ma DC wengi ni masikini kuliko tunavyodhani. Kama ikitokea unaulizwa je nukupatie u-DC au Ukurugenzi wa Wilaya, ngd. kimbilia ukurugenzi. DC hana fungu na muda mwingi ni omba omba kwa mkurugenzi wa halmashauri
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  laana tayari inawafuata hata iweje mwishoooooooooooo huo
   
 8. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ukiangalia shule nyingi za kuendeleza yatima lazima hawa nao wamo. cheki vijiji vya SOS kama utawakosa watoto wa hawa mabeberu weusi
   
Loading...