Mmezoea ma-DC wakuvaa masuti na kukaa maofisini awamu hii ya hapa kazi tu ni viongozi wa kuonyesha mifano. Ila sio kosa lenu itawachukua muda kuzoea!Masikini Tanzania daaaaa
Mkuu, inamaana Tundu Lissu akikamatishwa ubalozi, hatutasikia tena neno "diktekta uchwara"?
Ule mgao ni Mnyika tu aliukataa, wengine wote walipata kipande cha keki.Kwani toka avute mpunga wa EL lini umemsikia akitamka tena eti EL ni fisadi?
Nakumbuka huyu bwana alikuwa anaitwa habib hala hala mwandishi wa rais mwinyi enzi hizo mungu amuweke mahala pema peponiMwandishi wa habari wa rais nafikiri aliikuwa aitwa....Mr halahala alikatwa na panga la helicopter wakiwa huko mikoa ya kusini na kufariki, hivyo viherehere vingine ni mauti
Hapo hapo barabaraniHivi ofisi ya dc ubungo ipo maeneo gani
Ule mgao ni Mnyika tu aliukataa, wengine wote walipata kipande cha keki.
Wote walioimba wimbo ule "tuna imaaani na Lowaaasa" huenda walivuta mpunga. Wachunguzwe, tuanze na KMKKwani toka avute mpunga wa EL lini umemsikia akitamka tena eti EL ni fisadi?
Wote walioimba wimbo ule "tuna imaaani na Lowaaasa" huenda walivuta mpunga. Wachunguzwe, tuanze na KMK
Mwinyi bhanaAlikuwa mwandishi wa Mkapa,ilikuwa Masasi kama si Nachingwea nafikiri.
Hana Shida na kazi za kujikomba. Uwakili wake unamlipa yeye na hata akipewa balozi mmoja amuweke kinyumba atamuhudumia stahili zoteMkuu, inamaana Tundu Lissu akikamatishwa ubalozi, hatutasikia tena neno "diktekta uchwara"?
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam siku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.
Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam siku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.
Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.