DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

Watafikia muda waingie ndani kwenye nyumba za wananchi kufanya kazi za ndani ili waonekane "viongozi wa watu"
 
Mwandishi wa habari wa rais nafikiri aliikuwa aitwa....Mr halahala alikatwa na panga la helicopter wakiwa huko mikoa ya kusini na kufariki, hivyo viherehere vingine ni mauti
Kwahio unataka kutuambia Marehemu Halahala alikufa kwasababu ya kiherehere?!!!
 
Watu tuna taka maendeleo sio kick za ovyo
Sasa maendeleo na mafoleni yanawezekana kweli? Yeye anaonyesha tu mfano kuwa kwa juhudi fuani foleni inaweza pungua hivyo traffic aliyoko pale aige mfano wake! Sasa kakosea nini?
 
Back
Top Bottom