DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

Unataka kuniambia kuwa wakati wote dereva anapoendesha gari usiku anatumia reflector kuona?

Naongelea kivazi -vest-ambacho kama unaongoza magari usiku, hata traffic au emergeny worker huvaa ili kumfanya dereva atambue kuna mtu pale !!
 
Lakini hatujaelezwa what happened mpaka afikie hatua ya kuamua kuongoza magari. Haya ni maeneo ya Ubungo, na ambao huwa tunatumia barabara zilizo around maeneo y Ubungo tunajua shida ya njia hizo especially weekends masaa ya jioni kama hivyo. Kawaida sana watu kujitolea kuongoza magari hapo.
 
Naongelea kivazi -vest-ambacho kama unaongoza magari usiku, hata traffic au emergeny worker huvaa ili kumfanya dereva atambue kuna mtu pale !!

na mimi nimekuuliza ni nani kakuambia kuwa kila mara usiku dereva huongozwa na "vivest" kama hivyo? Hakuna mahali popote katika sheria za usalama barabarani walipotaja kuwa "usipoona hicho "kivest" au "reflector" basi unaruhusiwa kugonga kilicho mbele yako.

Vivest au reflector ni "aids" tu. Hivyo kama dharura imetokea na kumlazimu DC kuongoza magari kwa dharura hashindwi kufanya hivyo eti kwa sababu hana kivest
 
Analazimisha kupata kick! Alizoea sana kutoa mapovu kwenye media
 
na mimi nimekuuliza ni nani kakuambia kuwa kila mara usiku dereva huongozwa na "vivest" kama hivyo? Hakuna mahali popote katika sheria za usalama barabarani walipotaja kuwa "usipoona hicho "kivest" au "reflector" basi unaruhusiwa kugonga kilicho mbele yako.

Vivest au reflector ni "aids" tu. Hivyo kama dharura imetokea na kumlazimu DC kuongoza magari kwa dharura hashindwi kufanya hivyo eti kwa sababu hana kivest
Ni wazi hujui unalolisema, na kama hiyo ndiyo level yako ya interpretation I cant waste my time !!!

Ndo nyie na mawazo ya fyatueni tu watoto cuz elimu ni bure !!
 
Nimekuuliza simple question wapi katika sheria za usalama barabarani imeandikwa kuwa nyakati za usiku dereva ataoongozwa na reflector tu? Kwanza hizo reflector zimekuja na utandawazi na sheria ya usalama barabarani ni ya 1973. Ina maana huko nyuma magari yalikuwa hayaendeshwi usiku au watu walikuwa hawaongozi magari usiku? Go direct to the point, don't beat the bush!
 
What point, cant you use your brain for a second ? Policies and regulations can be derived from laws. When is huko nyuma ?. Issue sio kuongozwa usiku kwani unaendesha punda, we are talking a mere twat akiwa kiraia kakaa ktk intersection anaongoza magari, hajawahi hata kuwa mgambo wala askari na ambaye angetumia one minute ku check n OCD wake km aliona kuna haja ya uwepo wa askari..tena wakati huu ambapo kuna askari na road patrols kibao 24/7

Utandawazi upi ndiyo umeleta reflectors ?

Sheria gani inasema weka majani na miti gari likiharibika ili ku signal kwa watumia barabara wengine ?
 
Kwa hiyo siku akiamua kushika mfagio na kuaza kusafisha mitaro pale stendi ya ubungo mtamsifia pia? , kufanya kazi za subordinate wako inageuka kuwa sifa - kweli Tanzania ya awamu ya tano - mwendo kasi.
 
What point, cant you use your brain for a second ? Policies and regulations can be derived from laws. When is huko nyuma ?. Issue sio kuongozwa usiku kwani unaendesha punda, we are talking a mere twat akiwa kiraia kakaa ktk intersection anaongoza magari, hajawahi hata kuwa mgambo wala askari na ambaye angetumia one minute ku check n OCD wake km aliona kuna haja ya uwepo wa askari..tena wakati huu ambapo kuna askari na road patrols kibao 24/7

Utandawazi upi ndiyo umeleta reflectors ?

Sheria gani inasema weka majani na miti gari likiharibika ili ku signal kwa watumia barabara wengine ?

Youre talking the opposite policies make way for formulation of laws and vice versa. Nilikuuliza ikitokea ajali, wewe kama raiaa ukamua kuchukua hatu ya kuweka alama za majani kuwattarifu madereva wapunguze mwendo utakuwa umevunja sheria? Linalowezekana sasa lisingoje. Huyo OCD na timu yake watafika hapo saa ngapi ikizingatiwa huo msongamano? Ndio maana katika matumizi ya barabara kila mtumiaji anatakiwa kuwa na sene of judgement. Katika huo msongamano ni nani anaweza kugonga mwingine with big impact? ndio maana sense of judgement yake ilimuongoza kuwa it is safe kuongoza hayo magaro yaliyokwama. Kila mara tunaona Pale Ubungo raia wakijitolea kuongoza magari. Ndio imekuwa nongwa kwa DC kujitolea?
 
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam Usiku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.

Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.

Panapokuwa na Jam na hakuna wa kuongoza any sound mind person can assist with that
 
Unaongoza magari usiku kwenye giza huku umevaa nguo nyeusi.
 
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam Usiku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.

Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.

Duh
 
Back
Top Bottom