bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Kamanda Mpinga upooooo.....????
Vipi Lukuvi, Membe na yule DC wa kinondoni bado wanamhujumu mtukufu Rais kama ulivyotuaminisha siku chache zilizopita?Rais wetu akiwa Waziri wa Ujenzi aliwahi kuongoza Magari na watu Mbagala. Hivyo si ajabu kwa DC
asante kwa wazo zuri,ungemwambia lizaboni,angemfikishia maana anasikilizwa sanani vizuri
usiku awe anajitolea hivohivo
usiku kazi nyingi leo wkend akahudumie bar wateja wengi
like father like son..........................
pumba sana wewe.huoni kuwa polepole anaweza leta ajari 1 hana uniform anatakiwa awe havae hata nguo ambazo zinaeleweka anaweza pigwa risasi mtu akizania mwizi.Rais wetu akiwa Waziri wa Ujenzi aliwahi kuongoza Magari na watu Mbagala. Hivyo si ajabu kwa DC
Instagram.Hivi ofisi ya dc ubungo ipo maeneo gani
Hapana, ni wa Rais Mwinyi. Ajali ilitokea mwaka 1990/1991 kwenye mafuriko huko Chipite Masasi Mkoa wa Mtwara.Alikuwa mwandishi wa Mkapa,ilikuwa Masasi kama si Nachingwea nafikiri.
Ok,tunamwalika na mahospitalini aje awe Mfano,maana naona viongozi wA awamu hii wamesomea kila kitu!Mmezoea ma-DC wakuvaa masuti na kukaa maofisini awamu hii ya hapa kazi tu ni viongozi wa kuonyesha mifano. Ila sio kosa lenu itawachukua muda kuzoea!
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam siku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.
Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.
Hawana jipyaBavichaa mnachekesha...mmegeuka kuwa kimeo sass hadi mnachoka kilasiku kutafuta ya viongozi wenu...hamna mawazo mbadala
[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23]Hana Shida na kazi za kujikomba. Uwakili wake unamlipa yeye na hata akipewa balozi mmoja amuweke kinyumba atamuhudumia stahili zote
Fanya na wewe kila kitu kinachofanywa na viongozi Ni sifa tuu. Ndo upinzani ulivyo hivyo looooh kweli mnatishaSifa za kijinga.