DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

Where is your reflector jacket or light , silly DC
Baada ya kukaa siku nyingi bila kusikika, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Polepole, ameamua kuingia barabarani kuongoza Magari katika foleni za Dar es salaam Usiku. Hapa chini ni video ikimuonesha Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akiongoza magari Sinza.

Hakika Viongozi awamu ya Tano ni mfano wa kuigwa.

Where is your reflector jacket or light , silly DC
 
Kweli tutaona mengi., watu wanakufa njaa wakuu wao hufanya kazi ili bwanamkubwa akionyeshwa video aseme sasa kazi tu. shida za watanzania zipo pale pale miaka 5 itaisha, mwaka 1 ushakwenda hatujaona kiwanda ata kimoja bei za vyakula zimepanda maradufu, ajira ndo ni ndoto, waliofukuzwa kazi wameungana na wasio na kazi wanabanana zaidi na zaidi
 
kukurupuka kwa mwendo kasi,,,ipo siku ataenda kona bar kukamata malaya
 
Ni sawa, wanakazi gani?
Utakaa vipi barabarani kuongoza magari bila refractor tena usiku???? Usalama wako uko wapi???
Think your safety first!
 
Kwani Dr Ayubu Rioba unamsikia? ameacha hata kuandika zile Makala zake.

Tundu Lissu aliewahi sema yeye amezaliwa kuwa Mhasi na si Mtawala na hata kama akipewa hiyo nafasi sidhani kama ataweza kukaa kimya milele.
Msomi kweli hawezi kukubali kuteuliwa katika system ambayo hukubaliani sasa ukiingia katika mfumo kwa njaa inabidi ufunge mdomo maana huwezi kuwa sehemu ya serikali halafu ukosoe serikali. Njia rahisi kuwafunga midomo wape vinafasi lakini mtu makini hawezi kukubali uteuzi katika jambo asilo amini.
 
Halafu akitoka hapo anaenda nyumbani kwa usafiri wa kodi za umma na anapewa pole kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa.. Ukiwaangalia kwa umakini watu wa hii serikali ya awamu ya tano kuna haja ya hospitali ya mirembe kuboreshwa kuliko hata Muhimbili.

Emb waoneni wanavyofanya vituko wajameni!!!!!!! Like father like familiy
 
Sasa maendeleo na mafoleni yanawezekana kweli? Yeye anaonyesha tu mfano kuwa kwa juhudi fuani foleni inaweza pungua hivyo traffic aliyoko pale aige mfano wake! Sasa kakosea nini?
uyu jamaa nikimuangalia kipindi cha katiba dah nabaki kufurai tu
 
Atakuja kugongwa, amevunja sheria za kuongoza magari bila kuvaa reflectives kwahio anarisk maisha yake na ya watumiaji wa barabara wengine. Achukuliwe hatua
 
Msomi kweli hawezi kukubali kuteuliwa katika system ambayo hukubaliani sasa ukiingia katika mfumo kwa njaa inabidi ufunge mdomo maana huwezi kuwa sehemu ya serikali halafu ukosoe serikali. Njia rahisi kuwafunga midomo wape vinafasi lakini mtu makini hawezi kukubali uteuzi katika jambo asilo amini.
Umenena Kweli tupu
 
Hii inaonyesha kwamba ukuu wa wilaya hauna kazi kabisa kiasi cha mtu kupata muda wa kwenda kuwa Traffic police.
 
Kuongoza magari kazi nzuri? Hata kichaa anaweza kufanya kazi hiyo. Hii ni dalili hawa watu hawana kazi au kabda hawajui kazi zao no Job Description.
Mkuu ndo anapenda hivi anavyofanya polepole
 
Back
Top Bottom