DC Ally Hapi aingilia kati Mandojo kuvunjiwa nyumba

DC Ally Hapi aingilia kati Mandojo kuvunjiwa nyumba

Inabidi elimu ya haya yafanyike kila mara kuelimisha wananchi..

Hata matangazo ya redioni kila baada ya muda fulanibtatasaidia tena nchi nzima.. na mengine mengi
 
Nadhani majukumu ya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Mikoa ni tofauti na zamani maana wa zamani walikuwa hawasikiki lakini kazi walikuwa wanafanya
 
Kwahyo madonjo ndyo muhimu kuliko hao wengne waliobomolewa?hizi kiki nizakijinga sna.wafanye kazi km inavyotakiwa cyo kuhangaika na mtu mmoja mmoja.naona hu ugonjwa umeenea kwelikweli hata babao anao kawaambukiza mpka wanao
 
Inabidi elimu ya haya yafanyike kila mara kuelimisha wananchi..

Hata matangazo ya redioni kila baada ya muda fulanibtatasaidia tena nchi nzima.. na mengine mengi
Mungu anisamehe sijui kwanini nimekuwa nikiona sana makosa ya kiuandishi unayoyafanya Na kujenga hoja zisizoeleweka kuliko Yale muhimu unayotaka wasilisha
 
Hongera sana Mhe. DC hakika kiongozi unefanya jambo la hekima mno. Tilioshuhudia ile clip ya huo uvunjaji na taswira ya nyumba yenyewe hakika tuliimizwa sana. Mungu akupe nguvu daima
 
Kuna chama fulani hata hili la mtu kusaidiwa roho zinawaumaaaaa. Yaani Watanzania sjui tumekuaje
 
Hongera sana Mhe. DC hakika kiongozi unefanya jambo la hekima mno. Tilioshuhudia ile clip ya huo uvunjaji na taswira ya nyumba yenyewe hakika tuliimizwa sana. Mungu akupe nguvu daima
Vipi wale waliobomolewa nyumba na serikali wakati kulikuwa na zuio halali la mahakama hukuumizwa sana??huyo dc mbona hatukumuona kwenda kuwatete....hizi kiki za kipumbavu sana
 
Kuna chama fulani hata hili la mtu kusaidiwa roho zinawaumaaaaa. Yaani Watanzania sjui tumekuaje
Umemsaidia au umemrudisha nyuma kimaendeleo? Acha unafiki.
Km kumsaidia basi mngemuita kbla ya kubomoa nyumba km ikiwezekana aongeze pesa au hiyo nyumba auziwie mwenye kiwanja au mngemwambia hamishe vitu vyake mwenyewe. Tatizo viongozi wa ccm kipindi hiki hawatumii akili zao kila mtu anafanya kazi kwa kumfurahisha mwenyekiti wao.
Nyie ccm, meajiri viform 4 failure vimeeiba mpaka mali za watu halafu mnajisifu memsaidia.
*Hakuna fao la kujitoa
*Hakuna nyongeza ya mshahara
*Ajira za walimu wa arts zimefutwa
*Watu wamefukuzwa NIDA bila sbb yyte.
CCM inapendwa na wajinga yaani wasiondesha shule, darasa la 7, form 4 failure, ukimkuta mtu ana degree yake anashabikia ccm huyo ni njaa inamsumbua tu.
Ww sijui upo kundi gani hapo?
 
Suala la kuhakikisha wenye viwanja walivyouziwa na Manispaa ya Kinondoni wanaviendeleza kama kuweka hata nguzo na kuvisafisha mara kwa mara ni muhimu sana. Baadhi ya viwanja ni kama havina mwenyewe na ni chanzo cha uvamizi/kuuziwa watu kitapeli.
 
Na wale waliobomolewa Ubungo vp? au sio mastaa?
Wale hawakumpigia kura. Naona mandojo atakuwa mwanaccm.
Jamaa wamemrudisha nyuma sana. Kibaya zaidi wameiba baadhi ya vitu. Mfumo wa kuajiri form 4 failure kweny jeshi la polisi linarudisha maendeleo sana ndiyo yale tunapata ya mambo sasa kwamba risasi ilimpangusa Akwilina akalala usingizi. Ukiwasikiliza hawa form 4 failure hawajui hata kujielezea kbsa yaan wanaongea pumba.
 
Inabidi elimu ya haya yafanyike kila mara kuelimisha wananchi..

Hata matangazo ya redioni kila baada ya muda fulanibtatasaidia tena nchi nzima.. na mengine mengi
Kipindi mnaenda kubomoa mnatoa notes kwa wote. Nimeangalia taarifa ya habari hata Mandojo hajawahi kuitwa na pia kuna kikao kimewekwa baada ya kubomolewa lkn wahusika hawajatokea.
Kuna umuhimu sana wakumiliki machine gun ndani. Hapo wanakuja bila taarifa unawalamba risasi wote.
 
Nimeshangaa kuona mkuu wa wilaya amesimama baada ya Man Dojo kubomolewa wakati kwenye mabalaza ya ardhi kuna kesi za aina hii nyingi sana na wengi wamebomolewa. Lakini sijawahi kumuona mjumbe wa nyumba 10, mwenyekiti wa mtaa na mtendaji
 
Back
Top Bottom