DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

Yote hiyo ni kuhakukisha kuwa wanaendelea kujijenga kwa kuwa na bunge la watu wa ndio mzee. Hatutaki kabisa changamoto. Untakiwa uwepo mfumo wa watu kuchagua mtu kutokana na uwezo wake sio kigezo cha chama. Lakini watambue kuwa nguvu wanayotumia ni kubwa mno mpaka twashituka kuwa kunani pale bungeni. CDM jikiteni kwenye elimu ya Uraia kwa kuwa na vipindi TV na maredioni mkiwaeleza serikali ina wajibu gani kwa wanachi na wategemee nini toka kwa serikali ama sivyo tutaendelea na sera ya kujifunga mkanda huku wachache wanatumbua life.
 

Safi sana waambie wasitishike na chochote,hivyo vitisho ni vya muda mfupi tu baada ya hapo ni faraja.
 
Hawa ccm ni wahuni ngoja tuwaoneshe tarehe mbili kama ilivyo kuwa chadema wapiga kura wataenda kwa mfumo wa mbili mbili kashinde ashinde kafumu afumuliwe
 

afatwe kwenye jengo hilo la umma apigwe zaidi. kakosa kazi za kufanya hasa ya kuwa mlinzi wa amani
 

Kwa serikali ya CCM iliyo madarakani, huyu fedhuli anaweza hata kupewa ubunge wa kuteuliwa, wizara, ukuu wa mkoa au hata ubalozi

she fits perfectly into the current CCM manifesto and propaganda
 
Hawa ccm ni wahuni ngoja tuwaoneshe tarehe mbili kama ilivyo kuwa chadema wapiga kura wataenda kwa mfumo wa mbili mbili kashinde ashinde kafumu afumuliwe

nilikuwa sijatafakari majina hayo. kumbe KASHINDE means ASHINDE na KAFUMU means AFUMULIWE?
INAWEZEKANA
 
so cheap! Yaani CCM wanavyowatumia hawa ndugu zetu hata condom haifai...! na kama kweli waislam wakiamua kuichagua CCM Igunga kwa sababu ya hili la HIJAB pamoja na kutapeliwa kwenye mahakama ya kadhi basi nitawaona kweli ni majuha yaliyoshindikana....kinachonichanganya zaidi ni waislam kuwatapeli waislam wenzao lakini at the end of the day utasikia muovu ni kanisa/chadema/wakriistu!!
 
Siungi mkono hoja kuchoma watu kisha wafe eti sababu DC anaifanyia kampeni CCM, nielewacho mimi CCM maji yamefika shingoni sasa wanajitahidi kwa udi na uvumba kuliokoa jahazi ambalo linaelekea kuzama.
Siasa si uadui kama unavyofikiri, hebu fikiria kama ndugu yako mmoja yupo katika kampeni ya DC kisha akaja mtu akachoma moto kisha akafa kwa minajili ya siasa uchwara hasa za chuki.
Kinachotakiwa CDM ni kuongeza nguvu kuwaelimisha wapiga kura waachane na uongo huo wa CCM kuwa amevuliwa hijabu. Mtu anayejisitiri hijabu na AJISITI VYOTE.
 

HOFU YANGU NI KWAMBA CHOMBO HICHO KIWE NA MSIMAMO KWELI, KWANI ELIMU YA URAIA,CCM hawaitaki na chombo hicho kinaweza kufutwa na hao CCM kupitia huyu kada wake NCHIMBI
 
mkimkamata tena chukueni chupi yake tuifunge kama bendera tuitembeze igunga yote.
itakuwa alama ya ukombozi.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.



Mkuu nadhani unazungumzia katiba ya saccos ya mtaani kwenu na si katiba ya nchi! Katiba ya nchi inawakataza watendaji wote wa serikali kujishughulisha na shughuli za vyama vya siasa. Nadhani ni heri hao wavivu kufikiri kuliko wewe unayefikiri kwa kutumia masaburi!
 
kama kweli wewe si mvivu wa kusoma ungeshajua kuwa watumishi wa serikali hawaruhusiwi kuwa washabiki wa chama cha siasa. Na wanapofanya kazi zao wanapaswa kufuata sheria si potical inclinations zao. Au wewe ni mvivu wa kuelewa????

jibu lako linamtosha sana. Labda aanelewa kwa kutumia makalio.........tehe
 
kweli ccm kimezidiwa kila nyanja huyu mama simuelewi kama akili yake inafanya kazi vizuri kwanza amechoka hata kiumri inamaana anashindwa hatakusoma nyakati anaendelea kuongeza maadui nani atamzika au anategemea waccm watamsaidia ni wehu na upungufu wa akili sikutegemea kama ataendelea lakini muacheni sio muda mrefu atavuna alicho panda
 
Sheria za uchaguzi zinasemaje? kwa nini tusimfungulie kesi huyu mama? maana sasa kaacha majukumu yake ya kiserikali sasa kazi yake ni kampeni.

Atakuwa ameambiwa na mwajiri wake kwamba kama jimbo likiondoka na yeye kazi hana na ndiyo maana anahaha huko na huko eti anaongea na wenyeviti wa vitongoji.

Anajisubua, wananchi wameshaichoka CCM na ndiyo maana inatumia nguvu kubwa mno hadi za dola - na bado. Kunakoelekea anasema "Kabakwa" ili azushie watu kesi.
 

Hicho ni kifungu gani cha katiba? Mgombea ubunge wa Magwanda wa Igunga ni Mratibu elimu! Au hiyo nafasi ni ya serikali magwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…