DC aangua kilio kikaoni, pata tukio zima katika picha

D.C huyu ana haki ya kulia. Look here Mamlaka iliyomteua ni shemeji, Mwenyekiti wa Council ni hawala wa DED, unategemea proposal yoyote mbaya kwa DED huyu itakuwa na mashiko?? Ukifikiria hivyo lazima ulie tuu!! Lakini ingekuwa mimi najiuzuru U D.C
 
Tatizo la nchi hii kuna baadhi ya akina mama wanapewa uongozi kabla ya kuvunja ungo kiungozi
 
DSC07021.JPG


Mkuu wa wilaya ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchungu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi , Saada Mwaruka.
DSC07023.JPG

Mkuu wa wilaya ya Nkasi, Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchunugu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere. (Picha zote na Walter Mguluchuma)

Blogzamikoa
blogszamikoa.blogspot.com




Bonge la igizo!!!!??
 
U either resign or u join them.. Hii kulia ni udhaifu ambao mwisho wa ciku 2nauchukulia kama usanii.. Kama kweli una uchungu andika barua ya kuacha kazi.. Vinginevyo utanifanya nifikirie una uchungu wa kunawishwa bila ya kula.. (Kwamba imepigwa ndefu na hukudakishwa ganji kuona)..

Sent from Kandahar using JamiiForums..
 
watalia sana maana wanakumbuka 2015 kwisha ndio maisha watayaona maana hata elimu wengi wao hawana wamebebwa tu kiushikaji may be kameza mnofu wa nyama na kutoa machozi na kusingizia ana mkumbuka marehemu
 
Mbona hakuna anayesema huyu mama amefanya au hajafanya nini kuonyesha utendaji mbovu? Tuwe makini kwa sababu vigezo vya 'kwao' na vya 'kwetu' kuhusu maana ya utendaji mbovu ni tofauti. Kipimo cha ma DC cha utendaji mbovu ni kutokubalika kwa CCM!! Tuwe critical kidogo kabla ya kushabikia.
 
Huenda anajua kuwa kwa utendaji kazi mbaya wa hao maofisa wake kibarua chake kiko mashakani ingawa anaweza kuwa ni design ya babake mkubwa wa kuangua vilio bungeni kutetea U-PM

kwa serikali ya Dhaifu na ya kishkaji hakuna mtu ambaye kibarua kipo mashakani hata angekuwa mzembe vipi masaburi aliwahi kusema wabunge wanafikiria kutumia makalio yupo anadunda had leo!!! sana sana labda uangukie kwenye mikono migumu kama ya makyembe lakini hawa ma dc, ma rc makatibu wakuu mawaziri na naibu wao wapo very safe hata wakiwa wazembe mafisadi waongo, wala rushwa bora lisonge!!
 
Nahisi huyu dc tapeli. Anawania ukuu wa mkoa badala ya kufanya kazi anaangusha kilio
 
Ukiona djbaba zima linalia wakati naye ni kiongozi mwenye maamzi huyo ni fake hawezi kufanya maamzi yoyote,hapo ni halmashauri(w),akipata uozo kama ule wa EPA,RADAR au bodi ya mikopo mtamzika,mwanaume anasifiwa kufanyakazi(maamzi magumu) sio kulialia,labda kama mlikua mnatania au walikua wanarekodi filamu na mkurungezi wauze acha tuisubiri sokoni.
 
Back
Top Bottom