DC aangua kilio kikaoni, pata tukio zima katika picha

***** tu huyo,kwahiyo kulia ndio kuchukua hatu??au ndio uwezo wa hatua yake?alakini ndio uwezo wa sisiemu huwa unaishia hapo,unalia unapanda cheo alafu na wewe unaanza kufisadaiz.
 
CCM wamwagana machoziiii ! ! Hilooo. Kweli machozi ya mwanaume hayana thamani. Hata habembelezwi. Mimi nafikiria mamilioni anayolilia; yatarudi?
 
Lakini hata PINDA aliliagagagagaaaa . This is funy in expenses of poor Tanzanian. Alifikiria kujuzulu akaona noma.
 
mmh! kazi kwelikweli, mi naona kama amejiaibisha tu. Kiongozi mzima analia je anaowaongoza watafanyaje sasa.
 
Nini kinamshangaza na kumsikitisha mpaka anamwaga machozi? Mpaka leo hafahamu kwamba JK ametoa vyeo kishikaji ? Swala la utendaji kwa JK sio ishu...
 
Siamini kama kuna Gamba lolote lenye uchungu na nchi hii!!

Kama kweli yupo, nitamlipia kadi ya M4C na subscription ya mwaka mzima!!
 
mama uso mkavu hana hata aibu kwa uozo alioufanya.!
Ha ha ha ha ha ha! Jimama la kiswahili hilo lililofanikiwa kupambana na mifumo kibao kandamizi. Hongera mama, umejiwezesha mweyewe hukusubiri kuwezeshwa ila ndio hivyo tena ukifanya mchezo utanyea debe.
 
Pole mkuu, siku nyingine USILIE bali uchukue hatua kulingana na ofisi yako, DC mzima unalia?? Hao wananchi wako wafanyeje??. Hujui kuwa ukilia mbele ya waliochini yako ni kuonyesha kuwa wee ni DHAIFU?? Wee mgeni nchi hii.?? Ukome kulialia ovyo, ama uwe unalia huku unachukua hatua zipasazo. POLEN WANANKASI.
Kumbe ni kawaida ya haya majamaa kulia lia hovyo?Hapa anamuiga mizengwe mpindo alipoangua kilio mjengoni akiunusuru u pm,liwalo na liwe!!!
 
Yaani hii ni falacy (kushindwa kujenga hoja), badala ya kutatua matatizo yeye anaapeal kwenye argumentum ad misericordium? watu wa namna hii hawafai kabisa. We una executive power, yet you fail to execute it and end up crying? Angepaswa kuchapwa viboko huyu! Hapo kwanza kikao hakiwezi kuendelea! Yale yale ya kulilia wauwaji albino wakati una mamlaka ya kuamirisha hatua hali za dharura!
 
nafikiri ingeleta maana kama mtoa uzi angeweka na taarifa za huo "utendaji wa ovyo" ili kutujuza vizuri jukwaani
 
mama uso mkavu hana hata aibu kwa uozo alioufanya.!

Mama ndio kiongozi sasa maana anaweza kukabiliana na changamoto kwani tatizo likitokea limetokea kulia si suruhisho kinachotakiwa ni nini kifanyike kuondoa hilo tatizo, kiongozi akilia badala ya kuja na wayforward hatuwezi kufika na ndio maana muundo wa serikali kukawa na mkurugenzi, baraza la madiwa na mkuu wa wilaya kwa upande mwingine anamwakilisha rais kuangalia uozo wowote utaotokea, DC yupo pale kuangalia system inafanya kazi vizuri na asitegemee kwamba atakuta mambo safi (vinginevyo hakuna maana ya yeye kuwepo)
 
Yaani hii ni falacy (kushindwa kujenga hoja), badala ya kutatua matatizo yeye anaapeal kwenye argumentum ad misericordium? watu wa namna hii hawafai kabisa. We una executive power, yet you fail to execute it and end up crying? Angepaswa kuchapwa viboko huyu! Hapo kwanza kikao hakiwezi kuendelea! Yale yale ya kulilia wauwaji albino wakati una mamlaka ya kuamirisha hatua hali za dharura!

Tatizo wateuliwa hawapitii Job description zao, anamwakilisha rais kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri kwa kuwa kuna uwezekano wa uchakachuaji hivyo kama kuna matatizo kazi yake ni kuyaondoa na si kulia. Unajua mdau kazi yake ni kuondoa mabaya na kuyafanya yawe mazuri na si kufanya mazuri peke yake. Kwa mtazamo wa haraka haraka huyu ni aina ya kiongozi asiependa changamoto pia anapenda mambo yaende kama yalivyopangwa na si vinginevyo (kwa mtaji huu hakuna haja ya kuwa na DC sasa)
 
Analia kwa sababu anajua kwa mwenendo wa serikali yao ya CCM, sasahivi wapo katka kipindi chao cha mwisho, hivyo 2015 atakosa ajira hicho ndo kinachomliza
 
Huyu siyo fisadi moyoni mwake, angekuwa fisadi asingeona uchungu mkubwa hivo. Tatizo tu analilia uozo wa kulindana wa serikali yake. Kuwa kama angekuwa ni uwezo wake angewatimua kazi na kuwafunga jela na wakitoka walambwe mboko.
 
Huyu dc bwabwa nini..analia mbele ya mwanamke?hivi jk unatoaga wapi ma dc wa hivi
 
Back
Top Bottom