days to remember!!!!

je vous presante Madame Ayumi........

attachment.php
Madame B, hebu angalia vizuri huyo wa masaki kama ndo yuko hivi
 
Last edited by a moderator:
Siku ambazo ninazikumbuka sana,

Kwa furaha ni ile siku niliyozaliwa, kwa kweli nilifurahi sana.

Kwa huzuni ni ile siku ntakayofariki kweli ntahuzunika sana.
 
Siku ambazo ninazikumbuka sana,

Kwa furaha ni ile siku niliyozaliwa, kwa kweli nilifurahi sana.

Kwa huzuni ni ile siku ntakayofariki kweli ntahuzunika sana.

Asulo, iriambo. siku uliyozaliwa ulikuwa unajielewa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom