Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar
1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi
2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi
3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya nini. Mabegi yanakaguliwa ndani kuna nini
4) Ukiwa unasafiri nje ya nchi na ndege yako ni 3am (nyingi ndo muda zinaondoka), lazima uwe umefika Airport saa 11 jioni (siku ya awali), na utalala uwanja wa ndege hadi safari yako ifike. Wageni toka ng’ambo wanaoingia nchini, wanalazimika kulala uwanjani hadi ifike 6am ndo waweze kutoka; pia watakutana na kadhia za kukaguliwa kila barrier
5) Hali ya chakula mtaani ni shida maana hakuna mzunguko wa biashara
6) Vituo vya Mafuta havifanyi kazi, lita ya mafuta ya Petroli ukiipata kwa magendo ni TZS 15,000/- hadi 20,000/-
7) Kuna watu wanapita mtaani (wamevaa kiraia) wanafuatilia maduka yenye CCTV wakitaka kufutwa footages.
Mengine mtaongeza wakuu