Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
hahahaaa, mi nilijua nakuja kubadlishana pesa na simu!!!
ya kurepair ni kidogo sana bana, aibu hata kuja nayo hiyoooo...hicho kioo cha nyuma ni around $15.
Siiuzi aiseee nitaitengeneza tu
hahahaaa, mi nilijua nakuja kubadlishana pesa na simu!!!
ya kurepair ni kidogo sana bana, aibu hata kuja nayo hiyoooo...hicho kioo cha nyuma ni around $15.
hahaaa, poa mkuu!Siiuzi aiseee nitaitengeneza tu
Kuna sehemu inauzwa kule Posta elfu sabini na tano.!Mie nimedondosha yangu Z3 imevunjika nyuma yaani nimedata maana
Wakuu nina Xperia t2 ultra dual, nimeiupdate kwenda lollipop.. (5.0.2),lakini imekuwa nzito mno,alafu inastuck mara kwa mara,ushauri tafadhali,pia kama hujaupdate ni bora usubiri kwanza.
Da ni tatizo gani hilo aisee mbna mie natumia hiyo lollipop mwezi wa tatu sa hv , sjawahi ona simu ikiwa na tatizo kama hilo kabisa. Zaid simu imeongeza u smoothy
Mkuu hiyo SD Card ya kampuni gani?
Xperia yang haifungui Bluetooth mkuu. msaad
natumia xperia Z ila ina tatizo la kutopata picha nzur wakat wa usiku, ila kwa mchana zinakuwa poa mno. na hilo tazto ni since dy 1 nimenunua. msaada tafadhar..
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)
Sony experia Z3 imepasuka kioo na touch! Vipi naweza kupata suluhu?