Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

tatizo la sony xperia camera zao sio nzuri qualitu mbaya mno 20.1mp inakua kama lumia535 daaa what a bad cam.
pia glass cover sijaipenda inaongeza risk tuu na gharama za ajabu
 
tatizo la sony xperia camera zao sio nzuri qualitu mbaya mno 20.1mp inakua kama lumia535 daaa what a bad cam.
pia glass cover sijaipenda inaongeza risk tuu na gharama za ajabu
Hii ni kweli mkuu,xperia t2, 13mp lakini nikipiga picha kwenye mwanga picha inatoka imepauka kwa pembeni, kimsing technology yao ya camera iko chini.
 
Hii ni kweli mkuu,xperia t2, 13mp lakini nikipiga picha kwenye mwanga picha inatoka imepauka kwa pembeni, kimsing technology yao ya camera iko chini.
sio kwenye simu tuu mkuu hata digital camera zo ni mbaya mno. canon na nikon nawaheshimu picha zao nzuri sana
 
tatizo la sony xperia camera zao sio nzuri qualitu mbaya mno 20.1mp inakua kama lumia535 daaa what a bad cam.
pia glass cover sijaipenda inaongeza risk tuu na gharama za ajabu
Siyo hujui kuzitumia camera zao!
Au umezoea Camera za Tecno
 
Z2.. Yangu inajifungua kila application yenyewe.. Ina click inatoka nini tatizo
Na mi yangu ina matatizo hayo inaweza like bila kuclick.nahisi ndo hiyo ghost touch . Yako umepata msaada gani
 
Habari ya majukumu wanaJF.

Nimefanikiwa ku-updates simu yangu (OS) toka Lollipop kwenda Marshmallow 6.0.1 pasipo tatizo lolote, na nikapa furahia utendaji kazi wake.

Changamoto nimeanza ipata jana, simu imekuwa inasumbua sana kwenye internet, haisomi 4G ilhali mtangulizi wake Lollipop alikuwa ni mwema sana.

Pia ukiachana na 4G bado kwenye suala la network ni changamoto, kuna wakati inakata kabisa mtandao.

Hali ilikuwa kama hivi
48b713918d0fca370efe63b99f95e318.jpg

Baadaye
bfa3c92ff3cd59b15febfec0172e10de.jpg

Kisha nipo hapa panapo taka niichukie simu...
9a9637bf3ac7ee3622987490ff0fe388.jpg

Naombeni msaada , kama kuna uwezekano nika reverse hii OS nirudi kwenye Lollipop!

Pia hata kwenye matunzo ya berty bado sana, inapungua kama Yecno
 
Kuna mtu ananiambia hiyo Partch security level sijui inachangia kufunction vyema kwa Simu yangu, pia ninaomba msaada hapo
 
Vip
Habari ya majukumu wanaJF.

Nimefanikiwa ku-updates simu yangu (OS) toka Lollipop kwenda Marshmallow 6.0.1 pasipo tatizo lolote, na nikapa furahia utendaji kazi wake.

Changamoto nimeanza ipata jana, simu imekuwa inasumbua sana kwenye internet, haisomi 4G ilhali mtangulizi wake Lollipop alikuwa ni mwema sana.

Pia ukiachana na 4G bado kwenye suala la network ni changamoto, kuna wakati inakata kabisa mtandao.

Hali ilikuwa kama hivi
48b713918d0fca370efe63b99f95e318.jpg

Baadaye
bfa3c92ff3cd59b15febfec0172e10de.jpg

Kisha nipo hapa panapo taka niichukie simu...
9a9637bf3ac7ee3622987490ff0fe388.jpg

Naombeni msaada , kama kuna uwezekano nika reverse hii OS nirudi kwenye Lollipop!

Pia hata kwenye matunzo ya berty bado sana, inapungua kama Yecno

Kuhusu d6503 mkuu mie sijapata kwenye sony experia z2
 
Hii ni kweli mkuu,xperia t2, 13mp lakini nikipiga picha kwenye mwanga picha inatoka imepauka kwa pembeni, kimsing technology yao ya camera iko chini.
Ww labda haujaijulia Sony ana camera nzur tuu kwenye simu zake hasa za Chini ndio zipo fresh..mfano tumia z1 kwenda mbele anatoa picture nzur...issue kioo chake siyo angavu kama cha Samsung.
 
Vip

Kuhusu d6503 mkuu mie sijapata kwenye sony experia z2
Mkuu jaribu kufuatiliana kwenye Google na YouTube may kutakuwa na tatizo katika hyo software yao so labda kuna namna ya kuset pia jaribu kuituma kwa mdaa labda itatulia.
 
Mkuu jaribu kufuatiliana kwenye Google na YouTube may kutakuwa na tatizo katika hyo software yao so labda kuna namna ya kuset pia jaribu kuituma kwa mdaa labda itatulia.
Kwasasa nimeletea Security patch nyingine, sasa sijajua kama inaweza leta msaada au vinginevyo
0f34a2a209fd991450557e9e8350514a.jpg

Ya mwanzo ilikuwa January
 
Habari wadau. mie tatizo langu ni camera, kila nikipiga picha inakataa, inaniandikia Unfortunately camera has stopped. nimejaribu kuifanyia hard reset lakini bado tatizo lipo pale pale. Msaada tafadhali, natumia Sony Xperia E3 dual.

natanguliza shukrani Mwl.RCT Chief-Mkwawa
 
jaribu kudownload 3rd party camera apps kama vile camera 360 uone itafanya kazi au haitafanya
 
[quote uid=190066 name="mangi jr" post=16258800]Habari wadau. mie tatizo langu ni camera, kila nikipiga picha inakataa, inaniandikia Unfortunately camera has stopped. nimejaribu kuifanyia hard reset lakini bado tatizo lipo pale pale. Msaada tafadhali, natumia Sony Xperia E3 dual.<br /><br />natanguliza shukrani Mwl.RCT Chief-Mkwawa[/QUOTE]<br />jaribu kudownload 3rd party camera apps kama vile camera 360 uone itafanya kazi au haitafanya

Nimejaribu camera tofauti tofauti ikashindikana, Kuna moja inapiga camera ya mbele tu, uki change tu inakataa
 
tatizo la sony xperia camera zao sio nzuri qualitu mbaya mno 20.1mp inakua kama lumia535 daaa what a bad cam.
pia glass cover sijaipenda inaongeza risk tuu na gharama za ajabu
Polee saana nina experia c3 dual 8mp pic zinatokaa saaafi saana primary ina 5mp with flash pic znatoka poa kabisaa
 
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo kwenye simu yangu ninaomba msaada wenu. Ninatumia simu ya Sony Xperia L (C2105). Ni miezi minne sasa device hii inashindwa kutoa sauti kama ilivyokuwa mwanzoni. KWANZA; Nikipiga/nikipigiwa simu huwa inanilazimu kuweka Loudspeaker ndio niweze kupata perfect conversation. PILI; Audios na Videos hazitoi sauti mpaka pale ninapokuwa nimepiga simu na kufanya maongezi through a loudspeaker and eventually simu ikikata na Audio/Video nayo hupoteza sauti. TATU; Headset (Channel ya Earphone/Headphone) nayo haifanyi kazi, everything runs through a Loudspeaker tena wakati nikiwa on Call pekee. Vitu pekee ambavyo vimebaki vinafanya kazi normally kwenye upande wa sauti ni RINGTONE, ALARM & NOTIFICATION SOUNDS pekee. Tatizo lilianza siku ambayo nilikuwa najaribu kuconnect simu kwenye subwoofer ili nisikilize muziki kwa ujazo mkubwa (nimekuwa nikifanya hivyo mara kadhaa kabla ya tatizo kutokea). Still ninashindwa kuelewa kama tatizo lilikuwa Subwoofer au kuna tatizo lingine zaidi kwenye system ya Audio. Mwanzoni nilidhani Subwoofer imepiga shoti simu yangu lakini nakosa logic connection kabisa. Naomba msaada wenu wataalamu. Ninatanguliza shukrani zangu za dhati. Ahsante!
 
Back
Top Bottom