Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Umebadilishia wapi mkuu, mimi niko Dar!
Nenda pale Mtaa wa Samora, Ukitoka round about ya sanamu ya mashujaa kama unaenda Samaki samaki mkono wa kulia mle pembeni mwa maduka ya simu kuna vijana wamejaza makava na vioo vya simu mbovu.

Basi wale vijana wanajua sehemu zinakopatikana hardware mhimu zote za simu...Changamoto hawawezi kukupeleka huko kwa wahindi.....anzia pale mkuu.!
 
Samahanini wakuu Mimi na Sony Expedia z3 sijapata internet kabisa. Sijui settings zake natumi a line ya Airtel nisaidieni wakuu.. Ni imported from US msaada plzz
 
Wakuu naombeni msaada wa namna ya ku-root ka Sony Xperia m kangu,nimejaribu kwa framaroot nimechemka!
 
hata mimi natumia xperia Z ila ina tatizo la kutopata picha nzur wakat wa usiku, ila kwa mchana zinakuwa poa mno. na hilo tazto ni since dy 1 nimenunua. msaada tafadhar..
Hakikisha wakati unapiga picha ongeza brightness mpaka mwisho, picha Zako zitatoka poa
 
Kati ya xperia z3 compact na sony xperia z2 ipo bora nataka ninunue?
 
Nina sony xperia C6903 screen ina vibrate huwezi kusoma maneno au kuona vizuri, nimempelekea fundi amedai screen imekufa. Je ukweli ni upi?
 
Mkuu me natumia Sony experia Z natafuta housing yake nimeangaika sana kwenye maduka huku posta ila sijazipata,naomba msaada wako kama unafahamu duka lolote ambalo naweza pata housing ya experia Z.
 
Sony Xperia TX.... Haikubali 3G wala WCDMA. Niki_select mojawapo,minara inapotea. Inakubali EDGE tu! Nimejaribu lines zote...... Tigo,Airtel,Zantel, Vodacom zimeshindikana. Kwa sasa natumia Airtel lakini EDGE ambayo ipo sloooooooooowwwwww sana. Msaada, natanguliza shukrani.
 
Nina sony experia ion ni wiki ya tatu sasa inanisumbua kwa kukataa kuwaka, yaaani inawaka na kuzima mpaka inaisha charge.

Tatizo ili liliwahi kutokea kabla lakini simu ilirudi kawaida baada ya siku moja lakini safari hii imechukua mda mrefu sana.

Msaada tafadhali. Natanguliza shukrani zangu
 
Wakuu kwa anayejua sehemu naweza kwenda kubadilisha screen ya sony xperia z3 anielekeze tafadhali na kama unafahamu na gharama itakuwa vizuri zaidi.
 
Z2.. Yangu inajifungua kila application yenyewe.. Ina click inatoka nini tatizo
 
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)
Nina Sony Xperia Z1 hata 6 months haijafikisha, ina tatizo la ghost touch na pia nadhani imeua battery, charge ilianza ku drop from 50% to 1 % na kuzima, sahivi ikifika 98 % tu inazima, na ukichaji inajaa kama count down.. Nahitaji kubadili battery.
 
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)
Mkuu weka contacts zako,simu ya wife ina matatizo lukuki na internet ndo hakuna kabisa yani all android applications hazifanyi kazi.Niko Dar
 
We acha tuu kisimu chenyewe cha ngama,afu sikuwa na mpango wowote wa kununua simu hapa karbuni mi mwenyewe nimedata,pole
Nenda Posta pale kuna Madogo wana weza ipa uhai.

Pia ukifanikiwa kuweka mpya, inunulie Protector
 
Nina Sony Xperia Z1 hata 6 months haijafikisha, ina tatizo la ghost touch na pia nadhani imeua battery, charge ilianza ku drop from 50% to 1 % na kuzima, sahivi ikifika 98 % tu inazima, na ukichaji inajaa kama count down.. Nahitaji kubadili battery.

Mkuu na yakwangu inamtatzo kama yako pia yangu inapata moto kama pasi
 
Back
Top Bottom