Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Habar wakuu nina tatizo lingne kweny sony experia z yang...tatizo moja haitaki ku install whtsap yan ina loaad wee mpka bas nfanyaje wakuuu..

Pole mkuu.. Je umejaribu kucheki APN settings?
 
Nime fanikiwa ku update my Xperia z1 compact to kitkat sasa Tatizo inakula chaji balaaa Je kuna njia ya kusolve hili janga au Naweza kurudi kwenye my operation system yangu ya Mwanzo..!?
 
Suala hili limelalamikiwa na wengi. Pitia link hii upate solution ya muda huku mkisubiri patch ya kutatua tatizo hilo.

www.androidpit.com/android-4-4-2-battery-drain-fix-for-sony-xperia-z

Pia unaweza fungua app kwenye simu yako inaitwa XPERIA CARE, sign up kwa email na password, then utaenda kwenye SUPPORT FORUMS, tafuta forum ya simu yako, unaweza pata solution ya muda na pia kujifunza mengi kuhusiana na simu yako.
 
Nataka ninunue Sonny experia lakini mm sio mtaalamu na hizi simu.. Nimeipenda experia na budget yangu ni 650000 je ni aina gani ya experia itakuwa nzuri kwangu na maduka gan
 
Suala hili limelalamikiwa na wengi. Pitia link hii upate solution ya muda huku mkisubiri patch ya kutatua tatizo hilo.

www.androidpit.com/android-4-4-2-battery-drain-fix-for-sony-xperia-z

Pia unaweza fungua app kwenye simu yako inaitwa XPERIA CARE, sign up kwa email na password, then utaenda kwenye SUPPORT FORUMS, tafuta forum ya simu yako, unaweza pata solution ya muda na pia kujifunza mengi kuhusiana na simu yako.

Mkuu Ni kwel hili Ni janga Ila pia nimejaribu kuiset isile chaj pia Hata Kuchaji ina chaji very slow tofauti na mwanzo...Ngoja tusubiri
 
Kwenye hiyo link hapo nimekupa kuna solution ya muda mfupi, nenda kwenye settings-app- tafuta Google Play Services, halafu uninstall updates, wanadai hizo update za Google ndio zinakula chaji sana.
 
WanaFamilia ya Xperia mshapata upadate ya lollipop?

kweny Xperia z? mi nishapata ila sija update bado
 
Mkuu hiyo tayari ina update sema inafanyika manually.. kupitia Sony Flashtool
 
Nime fanikiwa ku update my Xperia z1 compact to kitkat sasa Tatizo inakula chaji balaaa Je kuna njia ya kusolve hili janga au Naweza kurudi kwenye my operation system yangu ya Mwanzo..!?

Ipandishe Tena kwenye Android 5.Lollipop.tayari iko hewani ufurahie maisha
 
Hebu Nipe link yak jee Haina Tatizo lolote compare na na hii kitkat..au then during update je simu ina bidi iwe katika hali gan Yaan lain iwepo kwenye simu au
 
Njia ulizotumia kupata kitkat ndio hiyo hiyo unapata lollipop.
 
Mbona kila nikiweka simu yangu katika pc companion ina niambia hamna any update...

Hapo itabidi ufanye update manually kupitia Flashtool... utahitaji ftf file kwa ajili ya simu yako..
 
Mbona kila nikiweka simu yangu katika pc companion ina niambia hamna any update...

Kama unahisi hauwezi ku update manually, tulia tu hadi upate notification kupitia PC companion. Ukikosea unaweza haribu simu.
 
Back
Top Bottom