Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Kwa wale mnao pata usumbufu zaidi kwenye matumizi ya hii Brand vyema mkaenda Sony Customer Care

Ofisi yao inaitwa ANISUMA wapo Kipata Street opposite na Rikki Hill Hotel

Wanatoa huduma nzuri, tofauti na Samsung ambao kama huna Warranty unaweza itelekeza simu kwa kuhofu ghalama za matengenezo
 
Polee saana nina experia c3 dual 8mp pic zinatokaa saaafi saana primary ina 5mp with flash pic znatoka poa kabisaa
mi nlikuwa nna xperia z1 c6902 ikawa na picha ziko blurry sana, yani nikashangaa sana kwa sababu mwanzoni kuna rafiki yangu alikuwa na z1 c6903 ilikuwa ni kiboko kwa kutoa picha angavu yani mpaka nikapata mshawasha wa kununua hio yangu. Ila sikupata moja ya vile ambavyo vilinipa msukumo wa kuinunua zaidi ya kufaidi long battery life na ile prestige tu ya kumiliki high-end brand.
 
[quote uid=190066 name="mangi jr" post=16258800]Habari wadau. mie tatizo langu ni camera, kila nikipiga picha inakataa, inaniandikia Unfortunately camera has stopped. nimejaribu kuifanyia hard reset lakini bado tatizo lipo pale pale. Msaada tafadhali, natumia Sony Xperia E3 dual.<br /><br />natanguliza shukrani Mwl.RCT Chief-Mkwawa
<br />jaribu kudownload 3rd party camera apps kama vile camera 360 uone itafanya kazi au haitafanya

Nimejaribu camera tofauti tofauti ikashindikana, Kuna moja inapiga camera ya mbele tu, uki change tu inakataa[/QUOTE]
itakuwa ni hardware issue
 
Me natumia z3 bt haivibrate ingawa nimeset vibration iwepo nikipigiwa au nikitouch halafu kitu kingine hizi simu hua zina sauti ndogo ikipigwa au ni mimi tu simu yangu?
 
Back
Top Bottom