Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Mimi Niko Mbeya natafuta touch ya Experia L. Yangu ina macrack nimekwenda Kwa mafundi simu na maduka ya spare haipatikani
 
Hapo utaitaji ftf file la Sony Xperia Z1 Compact,, sasa inabidi uhakikishe kama model number ni d5503 au vinginevyo.. Baada ya kupata .ftf file utahitaji Sony Flashtool tool kwa ajili ya kazi nzima ya kuinstall hiyo Android Lollipop mkuu..
Pia usisahau kuweka Sony PC Companion ili upate drivers zote..

http://xperiafirmware.com/8-firmware/46-sony-xperia-z1-compact-d5503

Shukran mkuu Ila issue Ipo kwa laptop kwa sasa Sina laptop ambayo ingenisaidia katika kazi hii.Ila Nimepata pa kuanzia
 
Natumia Xperia z imetoka rubber ya pembeni sehemu yakuchajishia je naweza kupata hiyo rubber?
 
Ugumu wake upo wapi? huna hiyo application kwenye laptop/computer au huna mtandao wenye kasi au hujui wapi pa kuanzia? update huwa ina karibu 700mb ama zaidi. Ukitaka ku update simu lzm iwe na chaji ya kutosha, zaidi ya 50%. Ni mchakato mwepesi ambao application inakupa maelekezo, mengine inafanya yenyewe.

Sijui pa Kuanzia mkuu
 
nina sony experia s50h, ilikuja na application za game za kichina nimetafuata namna ya kuzi'unstall ' nimeshindwa. pia haitaki kupokea application ya google play store kwa sababu eti my browser are no longer supporting the application , nilibadili nikatumia opera, safari, mozilla zote zilikataa. nataka kuondoa game app za kichina niweke za kizungu/kiingereza, nataka install google play store, pia kuna baidu web browser haina lugha ya kiiingereza kama unajua namna ya kuweka kwenye kiingereza itakuwa faida kwangu.
 
Hiyo ni Chinese version mkuu (kwa ajili ya soko la China)
 
Dah, nimegundua kumbe haya masimu aina hiyo hayana deal. Ya kwangu tatizo lake nikiiwasha screen hai display kitu chochote ila inakuwa nyeupe.
 
nina sony experia s50h, ilikuja na application za game za kichina nimetafuata namna ya kuzi'unstall ' nimeshindwa. pia haitaki kupokea application ya google play store kwa sababu eti my browser are no longer supporting the application , nilibadili nikatumia opera, safari, mozilla zote zilikataa. nataka kuondoa game app za kichina niweke za kizungu/kiingereza, nataka install google play store, pia kuna baidu web browser haina lugha ya kiiingereza kama unajua namna ya kuweka kwenye kiingereza itakuwa faida kwangu.

Itakuwa ngumu sana mkuu, uza kwa basic smartphone user ununue nyingine, international version
 
Sijui pa Kuanzia mkuu

1. Ingia Google kwenye computer, andika "download Sony PC companion", halafu i download toka kwenye links zitakazokuja. Hasa tafuta link ya Sony. Ukiipata, download and install.
2. Ukisha install, ifungue hiyo program hlf unganisha simu yako na computer kwa kutumia USB cable, hiyo program itatambua aina ya simu yako (hakikisha upo connected na mtandao)
3. Iki detect itakupa jina la simu yako na pia itasema kama simu yako inahitaji updates, na itakupa maelekezo ya kufuata ili uweze ku update simu yako.

MUHIMU: Maelekezo ni rahisi, hakikisha chaji ya simu ni zaidi ya 50%, nayo itakuambia. Ukifuata maelekezo vzr, wewe utakaa kuwa mtazamaji huku yenyewe ikimaliza mchakato wote na itasema simu yako ipo tayari.
 
Sony Experia J kuna software ya unlock? from AT&T?
 
Mkuu Mars Rover, nina sony xperia z2 locked katika mtandao wa verison USA, unaweza nipatia unlock keys?
 
Last edited by a moderator:
1. Ingia Google kwenye computer, andika "download Sony PC companion", halafu i download toka kwenye links zitakazokuja. Hasa tafuta link ya Sony. Ukiipata, download and install.
2. Ukisha install, ifungue hiyo program hlf unganisha simu yako na computer kwa kutumia USB cable, hiyo program itatambua aina ya simu yako (hakikisha upo connected na mtandao)
3. Iki detect itakupa jina la simu yako na pia itasema kama simu yako inahitaji updates, na itakupa maelekezo ya kufuata ili uweze ku update simu yako.

MUHIMU: Maelekezo ni rahisi, hakikisha chaji ya simu ni zaidi ya 50%, nayo itakuambia. Ukifuata maelekezo vzr, wewe utakaa kuwa mtazamaji huku yenyewe ikimaliza mchakato wote na itasema simu yako ipo tayari.

So computer au laptop aina Yyt inaweza kufanya update maana nina acer hapa dou core, ram 1gb je inaweza kufanya kaz kwa ufanisi?
 
Ndiyo, cha msingi internet iwe ya uhakika na ya haraka kwa sababu itahitaji ku download hilo file la upgrade. Sasa kama mtandao upo chini, ina maana itachukua muda mrefu. File huwa na MB 700+
 
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)

Nataka ku install fonts mbali mbali kwenye experia z2 ila kila fonts inataka nifanye rooting..hakuna njia nyingine, na je rooting hawezi leta shida baadae?
 
habari wakuu nmenuua juzi sony experia z..tatizo lake inasoma 2G haipandi zaidi yaapo wakati specification zake ni 4g,,,location ipo nzur coz simu niliokuwa natumia ni ya kawaida (b-elite) ilikwa isoma 3G karibia mda wote
 
Back
Top Bottom