Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

habari wakuu nmenuua juzi sony experia z..tatizo lake inasoma 2G haipandi zaidi yaapo wakati specification zake ni 4g,,,location ipo nzur coz simu niliokuwa natumia ni ya kawaida (b-elite) ilikwa isoma 3G karibia mda wote

Kwenye Dialer type *#*#4636#*#* then jaribu kuichagulia WCDMA only..
Isipopokea HSDPA basi simu yako inaweza kuwa CDMA EVDO smartphone ambazo ni kwa ajili ya Chinese market.. tupe feedback tutafute radio images..

Ukitoa Phone Model itakua vizuri zaidi
 
Nataka ku install fonts mbali mbali kwenye experia z2 ila kila fonts inataka nifanye rooting..hakuna njia nyingine, na je rooting hawezi leta shida baadae?

Tafuta njia nzuri XDA Developers kwa ajili ya rooting kwa Z2
 
kwenye dialer type *#*#4636#*#* then jaribu kuichagulia wcdma only..
Isipopokea hsdpa basi simu yako inaweza kuwa cdma evdo smartphone ambazo ni kwa ajili ya chinese market.. Tupe feedback tutafute radio images..

Ukitoa phone model itakua vizuri zaidi
asante sana mkuu imkubali kusoma 3g....
 
nina Sony Xperia S lt26i imepasuka kioo..ila touch yake ipo poa.
 
Mimi nina sony experia c 2305 ina tatizo la kudai insuficient storage nafanyaje hapo
 
Mimi nina sony experia c 2305 ina tatizo la kudai insuficient storage nafanyaje hapo

Install Clean Master App kutoka Google Play, then cleanup files ambazo hazina umuhimu kama una computer basi fanya kuhamishia files kubwa kwenda kwa computer yako.. Pia kumbuka kuondoa Applications zisizokuwa muhimu
 
Install Clean Master App kutoka Google Play, then cleanup files ambazo hazina umuhimu kama una computer basi fanya kuhamishia files kubwa kwenda kwa computer yako.. Pia kumbuka kuondoa Applications zisizokuwa muhimu

Some apps zimekuja na simu hazitaki kuziondoa ndio shida hapo
 
Habar wakuu nina tatizo lingne kweny sony experia z yang...tatizo moja haitaki ku install whtsap yan ina loaad wee mpka bas nfanyaje wakuuu..
 
Acha uvivu mkuu mbona threads zinazoelezea kuhusu athari za rooting zipo.. kwa hiyo nenda XDA kwa majibu zaidi..

Ulileta uzi hapa ili nini, kama cjui kingereza? hata mengine wanayo uliza yapo huko ila sio wote tunajua lugha.
 
Ulileta uzi hapa ili nini, kama cjui kingereza? hata mengine wanayo uliza yapo huko ila sio wote tunajua lugha, mbwiga wewe😰

Avatar yako inaonesha kiingereza unakijua mkuu.. Shukrani ila sijui maana ya mbwiga..
 
Back
Top Bottom