Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,863
- 830
Condition nzuri kwenye 350,000
Kuna jamaa anasema aliwahi kuinunua 1.2m sijui ni kweli au maneno tu. Ngoja niigoogle nione ina specification gani
Condition nzuri kwenye 350,000
Kuna jamaa anasema aliwahi kuinunua 1.2m sijui ni kweli au maneno tu. Ngoja niigoogle nione ina specification gani
HTC HD7 ina run windows 7. Nataka update OS mpaka windows 8.1 ili niweze install apps kama screen capture na instagram.
Pia haionekani kama Mass Stirage device kwa PC
Please assist.
HTC ONE X, simu ya zamani kidogo kwa bei hiyo labda alimaanisha HTC ONE M9
HTC FirstKwa simu gani mkuu?
Nina hii htc one x issue inakuja kwenye speed ya internet ipo slow lkn line ukiweka ktk simu nyingine inakuwa vizuri hata youtube inacheza bila kukata na zote zipo kwa 3G. Nilifanya updates ina jelly bean. Na haina more updates
Angalia APN Settings zako mkuu, inatakiwa kuwa hivi:
Settings >Mobile Networks>Access Point Names
Reset defaults.. then New APN..
Name: Donie (au jina lolote)
APN:internet (herufi ndogo)
(kwingine acha palivyo)
Baada ya hapo nenda kwa Dialer *#*#4636#*#*
Phone Information >chagua WCDMA Only.. ila ukitoka maeneo yasio na 3G kumbuka kurudisha GSM Only..
Maelezo yako yapo sahii na nayatambua maana nimehangaika kidogo hata ku google site za nje sijapata solution na ikiwa ipo kwa 3G na signal ipo full hapo kidogo inajitahidi lkn kama kuna bar mbili au moja ndio sipati kitu wakati nina ka samsung kadogo (galaxy pocket) hii hata ikiwa bar moja inapiga kazi vizuri. na hii htc ikiunganishwa na wireless inafanya kazi kama kawaida
Kama una tatizo lolote na HTC smartphone tujuze tukusaidie
Wakuu niaje? Nina htc wildfire,tatizo lake bwana nilibadil screen baada ya kupasuka sasa hai sance ukibonyeza a inakuja t
Haya nikinunua naipataje mdau?Genuine utazipata eBay kwa USD 25 mkuu.. kama 50,000 hivi
Haya nikinunua naipataje mdau?
Htc one mini battery ina drain within 2 hours kwa data usage....??
Upo kwenye OS version gani? Je ni simu ya carrier yeyote kama Verizon, Sprint au AT&T..
Kama una S-OFF na Super CID (Huwa ni 11111111) kwenye Bootloader basi unaweza kufanya RUU update za 3G UK ukapata Radio images mpya ikawa stable.. Simu zinazotoka Marekani mara nyingine zinakua na issue ya radio frequency sababu wao wanatumia Band tofauti
@Mars Rover kama utaweza pata RUU ambayo umeshauri naomba unipatie link niishushe maana najaribu ku- google napata results tofauti
@Mars Rover kama utaweza pata RUU ambayo umeshauri naomba unipatie link niishushe maana najaribu ku- google napata results tofauti