Dawati la msaada kwa HTC smartphones

Dawati la msaada kwa HTC smartphones

This easy Settings>All>more>mobile networks>Access Point Names>ukifka hapo unaeka Menu then NEW APN Apn name:yyte tu Afu papofuatia andika "tigoweb" ukimalza save afu done....samtaymz huwa inakuja automatic....
 
Mpaka xaxa nakaribia kushusha mzigo wote ingawa net inazingua kidogo
 
Sasa baada ya hapo maelezo mengine yapo XDA Developers mkuu
 
mkuu Mars Rover ahsante kwa uzi wako,

me nina HTC one SV, ilizima ghafla nikijua ni charge imeisha, nilipochomeka kwenye umeme badae simu ikajiwasha yenyewe ila inaishia kwenye logo tu ya hTc, na kwenda kwenye factory mode, yan hai boot Os kabisa, nilijaribu ku factory reset inarudi palepale hata ukiwasha tena, tatizo ni nin mkuu...?

Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Xaxa mkuu nishaweka iyo recovery xaxa cjajua nifanye nn baada ya hapo
 
Htc one.? Inamaanisha kuwa umeflash recovery ambayo haiendani na virsion ya sim iliyo kuwapo mwanzo make sure unajua virsion ya os iliopo la sivyo jalibu recovery nyingine na nyingine usichoke na uwe na internet ya ahakika
 
Mkuu me nna HTC one S shinda sim card slot haiwezi kushikilia sim card then nmepeleka kwa fundi kkoo anadai hamna spea yake dukani. VP hapo kuna alternative au ndo niifanye game console na Wi-Fi internet
 
HTC 500 tatizo langu kila picture ina-expire baada ya muda.
 
Back
Top Bottom