Dawati la msaada kwa HTC smartphones

Dawati la msaada kwa HTC smartphones

Mkuu nina HTC desire 816w...inazingua nikifungua camera muda mwingine inafanya kazi,muda mwingine inasema "camera can't open"....Msaada plz
 
Kama una tatizo lolote na HTC smartphone tujuze tukusaidie

Mkuu nina htc one xl nimefanikiwa kuroot nmeweka supersu, but nataka kuweka room nyingine slim rom ndo naprefer coz nmeshazitumiaga kwenye simu tofaut but hii ndo fast time natumia htc so naomba unipe process au link zozote zinazoelkeza mkuu sa hv niko kwenye jb4.2.2
 
Msaada wakuu cm yangu HTC one s nikiingia tu net inapata sana moto, kuna muda mwanga unafifia then inazima wakati bdo chaji ipo yakutosha, tatizo jingine haikai na chaji hata lisaa na data nakua nimezima.
 
Daaah htc one x yangu charge inakaa masaa mawili kuicharge masaa manne daaah hapo tu ndo wamebugi msaada tafadhar
 
Wadau nilikuwa naomba mxaada juu ya bei ya htc desire 820s ya cngle lain
 
Back
Top Bottom