DAWASA kuweni wakweli kupasuka bomba kubwa la Maji Bagamoyo rd

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM.

Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli.

Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani .

DAWASA wewe wakweli na earlier kwa nini bomba limepasuka.
 
Pressure kubwa vibomba vimechakaa.

Unakuta design period miaka 10 hafu leo mwaka wa 25 hawajabadirisha.
Huo ndio ukweli wenyewe.
Bomba limepasuka zaidi ya sehemu moja halafu sababu zinazotolewa ni za uongo, haipendezi.
Na huko miaka ya mbeleni bomba hilo litapasuka tu kutokana na uzee.
 
Viwango vya mabomba ya dawasa/ dawasco sio bora Ndio sababu ya kupasuka mara kwa mara .
 
Huo ndio ukweli wenyewe.
Bomba limepasuka zaidi ya sehemu moja halafu sababu zinazotolewa ni za uongo, haipendezi.
Na huko miaka ya mbeleni bomba hilo litapasuka tu kutokana na uzee.
Hili bomba kila siku wanahangaika nalo kuziba viraka, ukikatiza maeneo ya Kigogo kule sukita Kama unaenda buguruni bomba hilo limekatiza kwenye mto msimbazi eneo hilo mara kwa Mara bomba uwa linavuja yote sababu ya uzee
 
Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM.

Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli.

Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani .

DAWASA wewe wakweli na earlier kwa nini bomba limepasuka.
Mabomba ya kichina kwa bei ya mjerumani
 
Back
Top Bottom