MJJ
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 313
- 256
Alisema bwana usibishe hata ushahidi wa audio upo na ninao
Weka hapa kila mtu asikie tabu iko wapi
Alisema bwana usibishe hata ushahidi wa audio upo na ninao
mwaka wa kwanza wa wapi mkuu? Jadili kama great thinker!!. Epxpet opinions are admissible in our courts. Wewe kama una precedence iliyo kataa ku-admit weka hapa.
yatawafika nyie mnaoamini kuwa eti Manji atafungwa kwa ushahidi wa vipimo vya mkemia mkuu pekee.
Wakili: Manji mlimkamata akiwa anatumia dawa za kulevya lini,wapi na muda gani?
Jamhuri : SIJUI
Tulia mkuu
Kesi nyepesi hii
Serikali chali
Kabisa mkuu ndo nini hebu cheki hiyo video hapo juu dakika ya sita.
Atakutajia sasaNi nani huyo mkuu??
Gwajima alisema taarifa za majibu yake. Hakuzungumzia taarifa za majibu ya Manji.Gwajima si alisema kuwa yeye na Manji walipopimwa Kwa Mkemia Mkuu walikutwa -ve.Imekuwaje tena yeye apandishwe mahakamani Kwa jambo ambalo Gwajima anasema jamaa hausiki nalo?
AsanteUtumiaji ..vip ..t.i.d mbona aliachwa
Ndugu yangu, tukishakaa nyuma ya kibodi zetu na bendera ya yanga pembeni, kumbukumbu zooote hufutikaWatanzania mna kumbukumbu ndogo sana. Si wiki iliyopita hapa wakina TID walipandishwa kisutu wakasainishwa kiapo cha kuwa na tabia njema na kutakiwa kuripoti kila baada ya wiki mbili kwa mwaka mzima? Mngejua maana ya kiapo hicho mngefunga midomo. Kuwa na tabia njema inaweza kutafsiriwa pia hawaruhusiwi hata kufukuza kuku achilia mbali kurudia tena kuvuta
Umenenaaaa,, hiviii kwann wanasheria hutumia kesii za zaman zlivyohamliwa na kumtaka hakimu au jaji kupitiaa kabla ya mahamuz,,,, nijuavyo kwa uelewa wangu reference husaidia kuboresha zaid ila upande wa sheria huwa naona nikukandamiza zaid kwann,,
Gwajima aliongelea kuhusu kupimwa kwake vipimo majibu hayatolewi kama matangazo kaka kwamba kila mtu ajue ndo maana gwajima kakutwa fresh kaachiwa ngoja twende mahakamani ndo haki ilikoGwajima si alisema kuwa yeye na Manji walipopimwa Kwa Mkemia Mkuu walikutwa -ve.Imekuwaje tena yeye apandishwe mahakamani Kwa jambo ambalo Gwajima anasema jamaa hausiki nalo?
Hivi juzi hao akina chid na tid si walipandishwa kizimbani??Hapa kuna double standards Manji Mahakamani.
TID, Wema, CHID BENZ, nk uraiani!! Duuh hivi viwanda ni hatari
Unachowaza kuhusu asili siyo kweli kabisa, kama ingekuwa hivyo Marekani wasingekuwa wanajiita white and black Americans.
Please, think again!
Huu ni uchocheziwatanzania tuache kujifanya hatuzijui mahakama zetu, kitakachoamuliwa mahakamani ndicho kitakachokuwa Jpm ameagiza kifanyike.