Asante kwa taarifa, kuna watu walikosa usingizi, sasa watalala kwa amani!.Makamanda Mwenyekiti wa Taifa Mhe.Freeman Mbowe amekwisha kutoka police muda huu...
Makamanda wote tukutane kesho mahakama kuu kwenda kumsindikiza kamanda Mbowe kwenye kesi aliyomfungulia Mkuu wa Mkoa wa Dsm...
By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
Kilichobaki sasa ni kuachia ngazi kama muasisi mzee wa Tengeru anavyosisitizaAje mtaani bwana
Dah... Kwa akili za namna hii... Wataendelea kuwa wapinzani wa "maisha "Sure mkuu
Hali tete sana nchin hasa akili za vjana kuendeshwa na mihemko ya wanasiasa
Hv lisu anasubili magu anazumgumze jambo.la msumbiji na yeye atengue kwa kauli za magu kw vifungu vya sheria
Na vijana wamshangalia,yaan mambo ni km wale wachungaji wanao sema tuombe na kusali baada ya njaa kutoke badala ya kusema tusali njaa isitokee
Mie watz hata siwaelewi.wacha wawatumie tuu
Hivi alikuwa anaogopa kitu gani hadi ajifiche?Ni vizuri amejibu maswali, kuliko alivyokuwa anaogopa kufika kituo cha polisi. Ila kwa kukamatwa amesikitisha kama kiongozi.
Hivi wanakuwa na ushahidi wa kutosha kabla ya kuwaita hawa watu ama ilimradi tu; maana interview zenyewe ni ndefu kweli as if wana evidence. Nchi zingine raia wa kawaida tu ukiitwa au ukikamatwa na polisi duty solicitor akifika tu kitu cha kwanza anachokwambia usijibu chochote kinachoweza kukutia hatiani basi wakianza mwanzo mpaka mwisho wewe kila swali no comment.
Interview ikiisha anawaanzia wao watoe sababu za kisheria na ushahidi kwanini bado wakushikilie kama hakuna lazima aondoke na mteja wake; sasa inakuwaje mtu anakaa polisi kuanzia asubuhi mpaka mida ya usiku kama vile polisi wana evidence zozote za awali za kujengea kesi.
Ujibu no comment interview nzima nchi ya ma-kaboka mchiz hujipendi?
Mambo yetu yanakwenda manual manual. Hiyo list ni upuuzi mkubwa kuwahi kutokea tanzania. Huwezi sema mmiliki wa kitu flani aende kituo cha polisi kwa tuhuma nzito kama madawa ya kulevya. Yani umejiridhisha kuwa mtu anahusika na madawa kiasi cha kupoteza muda kumuita, ila unashindwa kujiridhisha jina lake halisi?unaishia kumwita mmiliki wa kitu flani?
Haya mambo mara ya mwisho yalikuwa kwenye kitabu cha mfalme ****.
Na jengo lenyewe wamelibomoa la bilicanasUjibu no comment interview nzima nchi ya ma-kaboka mchiz hujipendi?
Mambo yetu yanakwenda manual manual. Hiyo list ni upuuzi mkubwa kuwahi kutokea tanzania. Huwezi sema mmiliki wa kitu flani aende kituo cha polisi kwa tuhuma nzito kama madawa ya kulevya. Yani umejiridhisha kuwa mtu anahusika na madawa kiasi cha kupoteza muda kumuita, ila unashindwa kujiridhisha jina lake halisi?unaishia kumwita mmiliki wa kitu flani?
Haya mambo mara ya mwisho yalikuwa kwenye kitabu cha mfalme ****.
Hukulaa kwani mzee mwenyewe nani kwa hadi hupati usingizi?sikulala presha inapanda nakushuka bora kayashinda majaribu
For what is worth regardless of one man's power kuna taasisi za 'human rights', Tanganyika Law Society and several home and international watchdogs watu awawezi kukaa kimya wakati infringement of 'civil liberty' is being promoted in the day broad light by the government agents.Ujibu no comment interview nzima nchi ya ma-kaboka mchiz hujipendi?