Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

The higher the risk the higher the profit.
 

Bado tupo mama.....
Bahati mbaya na wanawake hakuna.
 
Mkuu hapo baada ya miezi mitatu mtaji utakua kuku watakua almost 200,means kwa mwaka utakua na kuku 800 ambao ukiwauza kwa bei ya 6000 kila mmoja,hapa tunaongelea 6000x800 nadhanoi jibu unalo
Sawa mkuu
 
Tunaomba uje utufundishe na mtongozo wa bei ndogo maana hii ni mbinu za mtongozo wa bei kubwa sana.
 
Dili kubwa ni kumsimamiaha mtoto na kumuomba namba mwenyewe anakupa unaendelea sio hizi umepewa namba na mtu hata hakujui hadi umuweke kwenye reli inakua shughuli usikute huyi manzi anatembea na waume za watu kwaio anakua hai hai muda wote kukutolea nje 90% ila akikupa mwenyewe unaweza hata ongeza stori za kiboya mtoto yupo na wewe tu anasongesha vizuri..
 
Ha ha ha biashara za insta
Acha kukariri,huo ndo ukweli,kifaranga kimoja ni 1500 wale kuku machotara,ukiwafuga ndani ya miez Mitano kila mmoja unakula mpka 20000,Nenda pale Igunga pale uulizie Jimmy the Endless uone tunavyo lisongesha.
 
Acha kukariri,huo ndo ukweli,kifaranga kimoja ni 1500 wale kuku machotara,ukiwafuga ndani ya miez Mitano kila mmoja unakula mpka 20000,Nenda pale Igunga pale uulizie Jimmy the Endless uone tunavyo lisongesha.
Haya ni mawazo yangu mkuu sio lazima nikubaliane na wewe. I'm not interested.
 
Bana weee nimeku-pm namba yangu; nitumie basi hiyo 200k; won't bother to ask where you got my digits. Thanks in advance
Ha ha ha namba yako inabidi niipate kwa third party ambae atasisitiza nisiseme kuwa ndio kanipa hio namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…