Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Yes!
Well kuna sehemu umesema hii strategies inakupa mafanikio 95 percent?
well hii ndo point yangu
unapokuwa unataka mwanamke usiwe obsessed kuwa lazima ufanikiwe
let it flow naturally hata kama hutafanikiwwa
 
Saaanaaaa, nimekumiss tuu.

Siku ukiwa na nafasi twende kwa Baba Taibali tukanywe SunVita...
Hivi SunVita bado ipo? Ile ya Orange hadi leo nakumbuka ladha yake
 
Hiyo lako 1 si bora niitumie kuchapa madem 10 tofaut tofauti maana 10k najua hakuna msichana au mwanamke kwa zama hizi za Magu kuikataa
Unaweza kuwa na 100k ukanunua viatu 10, mwingine akanunua kimoja
 
Hawezi coz anajua atapata zingine nyingi kuliko hizo
upoteze 100k, pia unaingia risk ya kupoteza 200k yote sababu anaweza kuihamisha muda huo huo, kwa ajili ya kukwepa kuulizwa namba yangu umeitoa wapi? ok, tu assume umefanikiwa kama ulivyosema anaweza akakukataa na akakupiga block na tayari umepoteza 100k.
 
Inasikitisha kuona mpaka karne hii kuna watu wanatumia akili nyingi kuwapata wanawake,

Wew mwambie Nataka nikutoe Dinner or Lunch kuna vitu nahitaji kuongea na wew,Mpaka hapo mwanamke anakuwa ashakuona wew ni Gentleman, Asilimia kubwa lzm akuelewe.
Namba umetoa wapi??
 
iyo laki 2 Mkuu, vifaranga vya kuku wa nyama kila kifaranga 1500 vifaranga 20 inakua 1500x30=45000,pesa inayobaki nanunua chakula cha kuku na kujenga banda ujasiliamali unaanzia hapo Boss tusishindane na papuchi siku ya kufa nyani hali wali mkavu
Ha ha ha biashara za insta
 
Bado aisee kupoteze 100k kisa kujuana na Nyampuu ni ushambaa...
Ushamba ni kutojua level yako. Hio 200k ni mfano, unaweza kuamua hata 10k kama ndio level yako

Ukija Uzi kuhusu wanaume wabahili wengi mnajidai wahongaji wazuri laki si pesa. Leo 200k inawatoa povu
 
Back
Top Bottom